Otea hawa wana uhusiano gani?

Hawa ni walinzi w kampuni moja ya ulinzi hapa Dodoma uwanja wa ndege
 
Walikuwa wapenzizamani ila kwasasa kila mmoja anafamilia yake na ndoa yake

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Waliachana zamani analeta matumizi ya mtoto aliyebaki kwa mama. Na mama yuko na mme mwingine
 
Mmoaj ni shabiki wa Yanga Mwingine shabiki wa Simba. Hapo ilikuwa ni baada ya mechi ya mtani jembe.
 
Mmoja ofisa usalama wa russia mwingine ofisa usalama wa marekani...
 
Hao ni watumishi wa Mungu , maana hayo ndio maadili yanayo takiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…