Osheo la Vikombe Vya Kahawa

Osheo la Vikombe Vya Kahawa

ulikua unatumia maji yepi?
Mi nnlikuwa nkipewa kikombe
cha kahawa,
nikawa nakisuza kwa kahawa kama glass ya bia,
baasi muuzaji akawa ananiangaliaaa ... Duh!
 
Back
Top Bottom