Kaduguda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2008
- 724
- 641
Yule mkimbiaji kilema Oscar Pistorius oka Africa Kusini aliyemuua aliyekuwa mchumba wake Reeva Steenkamp Mahakama imemtia hatiani na kumuhukumu kifungo cha miaka 6 jela kwa kosa hilo. Oscar alifanya kosa hilo mwaka 2013 huko Afrika Kusini. Sheria ni msumeno!