Osama hajafa

Osama hajafa

Unataka tu kutujazia thread. Sasa una maana gani hapo?
 
huna hoja kaa kimya,dis iz not facebook iz the home of great thinkers mambo hayo waandikie under eighteen wenzako kwenye facebook
 
huna hoja kaa kimya,dis iz not facebook iz the home of great thinkers mambo hayo waandikie under eighteen wenzako kwenye facebook[/
hapo umenena mkuu..kule fb wako under 18!!
 
Osama kafa. Mbona hajatoa kideo enye gazeti ya leo kusema yu hai?:israel:
 
(MWANAID PAWA) Kawaonyeshe wale wafuasi wake amahala Kipenzi chao alipo waache kuomboleza. Ama nawe ndiyo yule Zimu lake?
 
Siyo lazima uonyeshwe video ya maiti yake ndo uamini. Juwa amekufa basi-Kama alikuwa wako imekula kwako!

Mwisho wa ugaidi wa kishenzi umefika.
 
Back
Top Bottom