Osama bin Laden's widows, kids deported from Pakistan early Friday | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Osama bin Laden's widows, kids deported from Pakistan early Friday

Discussion in 'International Forum' started by Candid Scope, Apr 28, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  In this photo, taken in Pakistan, Amal and Osama bin Laden's three youngest children (on the right)

  stand beside three of bin Laden's grandchildren (on the left).

  Osama bin Laden's widows, kids leave Pakistan

  The widows and children of slain al-Qaida leader Osama bin Laden were deported from Pakistan early Friday, an Interior Ministry spokesman told NBC News. Accompanied by a police escort, a mini-bus believed to be carrying them left the house where they had been detained and sped off toward the airport just after midnight, NBC's Amna Nawaz reported from Pakistan.

  The government spokesman confirmed to NBC News producer Fakhar Rehman that 14 members of the family had been deported on court orders "to the country of their choice, Saudi Arabia." According to Al-Jazeera TV, the family members arrived in Saudi Arabia, apparently without incident.

  A court had charged bin Laden's three widows and two daughters in early April with illegally staying in the country and sentenced them to 45 days in jail. They spent 14 days in prison – having been in detention since early March – before deportation to their home countries, including Saudi Arabia and Yemen.

  Bin Laden widows sentenced to jail, deportation from Pakistan

  NBC News learned that a Saudi plane had been waiting to transport the family members from Islamabad's Benazir Bhutto International Airport. Earlier,
  The New York Times said court documents named two of the wives as Kharia Hussain Sabir and Siham Sharif, both citizens of Saudi Arabia. The third and the youngest is Amal Ahmad Abdul Fateh, 30, who is from Yemen. She was wounded in the American raid in which bin Laden was killed, it said.The family was detained by Pakistani authorities following the May 2, 2011 American raid on the compound in Abbottabad that left bin Laden dead.

  The FBI and Department of Homeland Security have issued a bulletin addressing the potential for terrorist attacks to mark the upcoming anniversary of bin Laden's death, according to a
  report by CBS New York on Thursday. The bulletin warned of "renewed efforts to target western aviation" and the threat from "lone wolf" terrorists, but said there wasn’t any credible specific threats, the report said.

  Meanwhile, an Afghan soldier fatally shot an American service member and a local interpreter in southern Afghanistan, officials said Thursday, the latest in a string of attacks against U.S. and other foreign forces by their Afghan partners. In the east, three U.S. service members were killed in a bomb attack.


   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  wamefanya Ubinadamu hao Wa Pakistan kuwarudisha makwao Familia ya Bin Laden Hongera Serikali ya Pakistan.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ni kweli, hiyo familia si vema kuihusisha na Osama kwa vile hawa ni watoto wasiojua cho chote zaidi ya kujua kwamba ni baba yao. Hata wake zake ni victim tu.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  naona huruma kwa hawa watoto wazuri hivi, hawakupanga kuzaliwa kwenye hii shuruba
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kibaya zaidi matatizo waliyopitia wangali wadogo hivi na kushuhudia baba yao akiuawa mbele yao na kutojua wapi amepelekwa, kisaikolojia wameathirika sana, wanahitaji mtaalamu wa kuwaweka sawa wangali wadogo hivi, wakiachwa hivi hivi sijui wakikuwa watakuwaje.
   
 6. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hakuna yeyote anayepanga azaliwe wapi, wakati gani au wazazi wepi, anayepanga ni Mwenyezi Mungu. Wewe vile vile, mimi hivyo hivyo na hawa vilevile, pengine mipango ya Mwenyezi Mungu kwao hawa ikiwa bora zaidi kuliko ya mabinti wa Obama.

  Sasa Wamarekani na mafisadi wenzao (ikiwemo ufalme wa Saudia)labda wawaue au wawafanyie njama nyengine na mama zao vile vile, au njama dhidi ya makuzi yao kielimu na kiimani mabali na uislamu, maana mama ni shule, na uislamu ni ngao, na ulimwengu ndio huo unabadilika, haki na ukweli vinachomoza na batli na uongo unapiga mayoweyowe ya mwisho mwisho kabla ya kufifia. Si muda mrefu, Kizazi kimoja au viwili vijavyo, Kazi itakuwepo kweli kweli.
   
 7. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Una maana gani wakiachwa hivihivi? Mama zao wapo, babu na bibi zao wapo, shangazi zao wapo, baba zao wadogo wapo, binamu zao wapo, ukweli upo, uongo unajulikana,haki yao ya kisasi ipo/wanayo na haki yao ya kusamehe ipo/wanayo. Waachiwe na mama zoa na familia zao.

  Je kutokea miongoni mwao (mmoja au zaidi)watakaokamtana na dini yao, na kusimamisha ukweli na kupambana na uongo ndio kuvurugikiwa akili?

  Je kutokea miongoni mwao (mmoja ua zaidi) kumiliki casino Las Vegas, Kutunukiwa oscar au academy award kwa ku-act movies zikiwemo sex scenes au uchafu mwengineo, au kuwa milionea actor au milionea mwengine Marekani hali ya kuwa yupo depressed, hana faith, on drugs or sleeping pills ndio kutunzwa, umadhubuti wa akili au uhuru?

  Haya mambo ya elimu-nafsi (psychology)yanawafaa mabinti wapweke wa Obama, hawana bibi, hawana babu, famili finyu ya baba na mama na matoys na kuta za white house, upweke mtupu, na sio watoto wa Usama
   
 8. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mtoto wa nyoka ni nyoka tu-hakuna nchi itakayopenda kuwa shelter hawa watu-bora warudi nchini kwao tu
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Na washukuru nchi iliyokuwa inawashikiria Pakistan ni serikali inayofuga magaidi otherwise hawa wote walipaswa kupigwa sindano za sumu kabla kurudishwa kwao ili wakafie kwao in few months later.
   
 10. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  well said mkuu
   
 11. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mmmmm! Sasa hawa kosa lao ni lipi?
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Hawa ni Magaidi tu hakuna lugha nyingine unayoweza kuwaita, na ukitaka kujuwa hawa ni magaidi ni kwa nini walikuwa wanakaa kwenye ile nyumba miaka yote bila hata kwenda dukani?
   
 13. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na wewe unaamini walikaa miaka yote ndani? ishu hii ya osama ni tete, wewe na mimi tuna judge kwa kupewa taarifa na bbc, cnn, al jazeera ambazo kwa namna moja au nyingine wapo na mishen na west.

  Sia mini hata sekunde tu kuwa osama kafanya vitu vile peke yake, maana hawezi atasiku moja. Pili vp jeshi la pakistan mita 800 toka kwenye nyumba ya osama wameshindwa kugundua eti kwa miaka mitano, wakati nyumba wanao dai alikuwa anaishi ni kubwa mara tatu na nyumba za jirani. Alafu eti waMkamate adui, wamuuwe waswalie kwenye herikopta (nani mwislamu walienda nae akamsalimia na kumuosha maitu)na wamtupe baharini, eti hayo ni mafundisho ya kiislamu???

  hamukumbuki walicho mfanyia adui yao sadam?
  alafu osama hata KAPICHA kamoja hawaja toa???
  osama=amerika
   
 14. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,986
  Likes Received: 1,557
  Trophy Points: 280
  ugaidi kweli haufai unaofaa ni upendo tu alioleta Mzee paulo 2011 Welcoming Church Survey
   
 15. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Shashel na Ngambo Ngali, mnawaona waliosokomezwa desturi za "kijanja" oh sorry!! "kinafiki na kihabithi hawa??? Ndio hawa kina Matola. Chuki na woga zinamaliza nguvu zao na zinadhoofisha uwezo wao wa kufiri. Hii ndio mentality sawasawa waliyonayo wale wenzao wenye combat gears(barainwashed).

  Hebu semeni wenyewe, mentality kama hii, kuna jambo gani litamzuia mtu kama Matola

  1. Kukojolea maiti, kwasababu ni waislamu?
  2. Ku-rape wasichana,kinamama na kisha kupiga shaba kwasababu wamevaa hijabu?
  3. Kumwaga shaba/poison gases/cluster bombs sehemu za watoto (wasichana na wavulana)kwasababu ni madrasa?

  Hapa Matola umechemsha kwa ku-portray mentality za chuki zaidi ya zile wanazojaribu kuzificha walioku-brainwash. Unaweaka wazi mentality walizonazo ambazo hawazisemi hadharani. Unaonekana wewe una woga na wahka zaidi kuliko waliokufundisha. Na kama huniamini mimi basi hebu kunywa hili swali hapa chini na halafu tapika majibu kama wewe ni mwenye kufikiri:

  Swali:

  "Hebu waangalie hawa watoto kwa mara nyengine tena na kwa makini, baada ya dakika tatu hivi, tueleze bila ya kukurupuka ki-wahka wahka na dhana ya kwamba za kipuuzi eti "mtoto wa nyoka ni nyoka" ni Nini makosa au maovu unayoyaona kwenye sura za hawa watoto?????

  Can you see that you are just a coward-brainswashed-hatred-monger????? Yes, they are muslim children, but They are just innocent children, my friend!!! Why are you so terrified by them mpaka una loose your mind na kufikiri kwamba "hawa wote walipaswa kupigwa sindano za sumu ..."

  They say "Those who Do good, they fear no one, but those who do evil, they fear everyone, including innocent children"

  Mwenyezi Mungu awaongoze vizazi (watoto, kama sio watoto wajukuu, kama sio wajukuu wengineo katika viazi vinavyowafuata) wa Obama, Bush, Condoleza Rice, Colin Powell, armitage, Clinton na wengineo kama Matola kuingia katika njia ya Mwenyezi Mungu Mmoja (njia iliyonyooka. Hivi ndivyo mtu mwema huombea watoto woooote wakiwemo wale ambao mna uadui na wazazi wao, ukiondosha yale yanayojiri katika uwanja wa vita.
   
 16. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mtoto wa nyoka i nyoka-thats right open
  huwezi kum judge mtu hata kama ni mtoto kwa kumuangalia usoni-
  btw wanachoniuzi ni kuuwa wakristo-kwa nini wasitafute vita na wa budha?
   
 17. The only

  The only JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  hao ni future balaaa,ukiwaua umewaonea ukiwaacha wakue utawaogopa.
   
 18. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  watalipiza kisasi, hiyo lazima.
   
 19. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  If you do good, you will fear no one, but if you do evil, you will fear everyone.

  Kisasi (kulipiza kisasi)ni halali na ni haki ya mdhulumiwa na kusamehe ni halali na ni haki ya mdhulumiwa, na yote mawili (kisasi na kusamehe) yamehalalishwa kwa manufaa yaliyo makubwa (greater good). Kwahiyo onus ipo kwa mdhulumiwa kupima ni lipi litaleta greater good. Ama kwa anaedhulumu analotakiwa afanye ni:

  1. Kuomba msamaha/radhi
  2. Na Kama kuna kitu/thamani ya kitu (physical au material, basi arudishe kwa mdhulumiwa)

  Tatizo ni kuwa wanaofanya maovu wana kiburi. Kiburi chao kinawafanya kufanya uovu na mambo ambayo hata wenyewe yatawashinda kuya-reverse pale inapofikia wakati na kubidi watu wasameheane. Ni mambo yaliyo nje ya ubinadamu, nje ya imani zao wenyewe, nje ya imani za maadui zao, na nje ya imani yeyote inayojulikana au iliyowahi kujulikana ulimwenguni. kwa mfano kum-rape, au kwa kuifanya maiti unavyo-fancy wewe kwa mfano kukojolea, kutosa baharini, nk, ni kutokana na kiburi. Kibaya zaidi ni kule kusambaza uwongo wakati wa kufanya maovu na viburi vyao kiasi ambacho "ukweli huoneka ni uongo na uwongo huonekana kuwa ukweli" mpaka tunapata watu wenye fikra kama Matola, ua, ua, ua tu. Kwa mfano neno "kutosa baharini" wataliimba na kurudia kuimba katika mass media zao kwa kuita "kuzika baharini, kuzika baharini weee!!!" mpaka wimbo unaganda katika akili za kina Matola na wao kuanza kuimba hivyo hivyo na kucheza kama ngoma yao wenyewe. Hii ni brainwashing.

  "Kutosa baharini" (yaani kuichukua mwili wa mtu aliyekufa (maiti) aliyefia nchi kavu, na kwenda kuitumbukiza baharini badala ya kuizika ardhini kama iliyofaridhishiwa ) hata baada ya kufanya mambo yote, ni tofauti by 180degrees na
  "Kuzika baharini" (yaani kuichukua mwili wa mtu aliyekufa (maiti)aliyefia baharini/wakati wa safari ya baharini na baada ya kipindi cha siku 2-3(sina uhakika!!!) kukiwa hakuna dalili yeyote ya kufika nchi kavu, na kwahivyo hakuna njia nyengine ambapo ruhusa ya kuitumbukiza baharini baada ya kufanya ibada zote zinazotakiwa), ambayo imeruhusiwa.

  "Kutosa baharini" ni kinyume na ni desecretion of the dead na "kuzika baharini" under circumstances ni sawa na ni respect of the dead. Ku-desecrete the dead ni violation sio tu ya imani fulani na walioamini bali ni insult kwa wafiwa vilevile on top ya mauaji ya aliye wao.

  Ni kiasi waovu wawe terrified, wanakuwa haunted na waliyoyatanguliza kuyafanya mpaka ndani ya sura za innocent children, wao wanaona sura za simba wakali, wahka na woga tele!!!, wanjiharishia!!!. Ama kweli waovu wako tabuni sana. Maovu yao yanawaingiza ndani ya viganja vya shetani ambaye huwaamrisha kufanya maovu zaidi na makubwa zaidi.
   
Loading...