Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
Kuna habari zimetolewa muda mfupi uliopita na shushushu nguli la Marekani Edward Snowden kupitia Weekleaks yake kuwa ana taarifa za uhakika kwamba Osama bin Laden yuko hai na anaishi kwa payroll ya Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA mjini Nassau katika visiwa vya Bahamas huko USA.
Chanzo: india.com reports
Kama habari hii ni ya kweli basi Marekani inatisha. Ebu wataalam wa mambo kama haya ingieni kazini mchimbe mtupe ukweli wa jambo hili maana inasemekana kuna picha za hivi karibuni zimethibitishwa kuwa ndiye na ni za kweli.
Hata 2pac bado yuko hai

Nilisha edit mbona; Osama amekufa ingia you tube tafuta decumentary za bbc kuhusu tukio zima utaona mipango ilivyoanza tangia ilivyobainika alipo, mpango mzima wa CIA kuingia Pakistan na kuondoka kwa nusu saa kabla jeshi alijawafikia maana awakutaka kuwataarifu kwa sababu zao ki intelegensia.
Wala sio hadithi live images za camera za jeshi ndio zimetumiwa kutengeneza documentary, ushuhuda wa majirani pamoja na serikari ya Pakistan.
Kama nilivyomwambia mwenzako hapo juu ukiwa unaangalia vitu kama hivyo unapima na evidence zenyewe; how people interpret depend on their levels of perception.Ukimiliki media unamiliki na akili za wajinga.
Documentary nayozungumzia ina images taken from the physical ground na wahusika wenyewe niamini mimi Osama is dead huyo ka google tu na mwandishi ajampa ushahidi wowote ya kuwa Osama yuko hai zaidi ya kubandika post online.Sasa hapo tumuamini nani ?
Kama hii habari ni ya kweli nitafurahi sana,naombea iwe hivyo
Hahaa! Nayaona maajabu ya musa lakn sita yastaajabu ya jembe osama
Documentary nayozungumzia ina images taken from the physical ground na wahusika wenyewe niamini mimi Osama is dead huyo ka google tu na mwandishi ajampa ushahidi wowote ya kuwa Obama yuko hai.
Mnashangaa Osama kuwa hai?mbona hata A.Hitla mwenyewe bado yuko hai.
Nasikia kumbe Osama ndiyo yule Obama. Wakichokufanya ni kumbadirisha uarabu wake na kumuwekea uafrika na uzungu kwa mbaaali, wakaumba umba historia feki na kumpa urais wa merikani kama shukrani kwake .