mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Nimekupata mkuu na nimekuelewa. Lakini kama ni kweli huyu jamaa kafa,kwanini wafuasi wake wasiitangazie dunia? Na kishaMimi nadhani alishafariki Osama. Ni kwamba wafuasi wake na wale wanaomuunga mkono wanaishi kwa kivuli chake na hawataki kusema ukweli. Marekani nao labda wanatumia hilo kwa maslahi yao kuwaondoa wapinzani wao hizo mashariki ya kati. Kuna madai pia kuwa Osama ni wakala wa kundi la Mafia, kundi lilioanzishwa na Papa wa kanisa katoliki karne za nyuma ambalo linatawala ulimwengu kwa mlango wa nyuma. Wanamaagent wao kila serikali kubwa duniani au hata marais waliopo madarakani. Kundi kama Freemasons na Jesuit ya katoliki ni moja ya genge za kundi hilo.
Kwamba Osama alikufa itakuwa kweli manake angekuwa ameshajionyesha kwenye video watu wajue yupo lakini kinachotokea ni Sauti tu isiyoonyesha ukweli kamili. Tangu kubomolewa kwa mapango ya Torabora alikokuwa anajificha huko Afghanistan haijaonekana tena video yake. Naamini amekufa kinachoendelea ni mchezo wa kuigiza ili kuwafyeka waarabu walioingia mkenge kwa Geresha ya Osama Bin Laden.
Kumbuka mbinu zote za kivita alifundishwa na hao hao Mafia.
The guy is still alive. He is behind the the move which is happening now in Arab world.
Ok i agree with u,but no body knows if the guy is stil alive or died. Pia ni nchi gani hizo ambazo wameamua kuwaondoa moderate muslimthis is what people do not know,watu wanafikiri Gadaffi anaondolewa kwa kukaa madarakani muda mrefu,wameamua kuondoa moderate muslim leaders wote,Osama is alive,and is working to make sure all Arab countries follow islamic principles and rules and completely transform this countries into islamic countries which they are not though they have majority of
muslims.
Aaaaa thatz why called ur self sijui kitu? tehee tehee..... just kiddin....manHe is in Switzerland.....hehehe...just kiddin'......or maybe not