OSAMA atimiza miaka miwili

OSAMA atimiza miaka miwili

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Leo inatimia miaka miwili tangu kitokee kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Kundi la Al-Qaeda, Osama Bin Laden. Osama aliuawa na kikosi maalum cha wanajeshi wa Marekani walifanya shambulio la ghafla wakati wa usiku katika makazi yake yaliyokuwa Abbottabad nchini Pakistan. Aliuawa mnamo tarehe 2/5/2011.Kila mtu na amkumbuke awezavyo...
 
Hicho kichwa cha Habari ulivyoandika nikajua una mwanao anaitwa Osama ndio unatupasha habari anatimiza miaka miwili leo! Nikakimbia kuja kuimba Hepi Besdei tuyuu kwa Osama ...kumbe Duuuuh!
 
Last edited by a moderator:
Bin Laden had been under constant CIA surveillance since the 1980's.Every time he was close enough to kill,on several occasions the plan was aborted because he was too valuable alive. Osama Bin Laden was and still to this day the largest grossing commercial enterprise in the history of the world .Trillions of dollars were deducted directly from the US treasury and to this day and absconded with by special interest corporations during the war for profit ,much unaccounted for and in international accounts tax free .All for a fifty cent bullet.
 
Leo inatimia miaka miwili tangu kitokee kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Kundi la Al-Qaeda, Osama Bin Laden. Osama aliuawa na kikosi maalum cha wanajeshi wa Marekani walifanya shambulio la ghafla wakati wa usiku katika makazi yake yaliyokuwa Abbottabad nchini Pakistan. Aliuawa mnamo tarehe 2/5/2011.Kila mtu na amkumbuke awezavyo...

Kila mtu amkumbuke; kwa lipi la kumkumbuka Osama? Kwa kuua maelfu ya watu wasio na hatia? Kama yeye alikuwa anaona kuua ni jambo zuri, mbona yeye alikuwa akijificha daima kule kwenye milima ya Kandahar!
 
Leo inatimia miaka miwili tangu kitokee kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Kundi la Al-Qaeda, Osama Bin Laden. Osama aliuawa na kikosi maalum cha wanajeshi wa Marekani walifanya shambulio la ghafla wakati wa usiku katika makazi yake yaliyokuwa Abbottabad nchini Pakistan. Aliuawa mnamo tarehe 2/5/2011.Kila mtu na amkumbuke awezavyo...
ooh,kumbe leo ni pasaka ya bin laden.,asante kwa taarifa.
 
Leo inatimia miaka miwili tangu kitokee kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Kundi la Al-Qaeda, Osama Bin Laden. Osama aliuawa na kikosi maalum cha wanajeshi wa Marekani walifanya shambulio la ghafla wakati wa usiku katika makazi yake yaliyokuwa Abbottabad nchini Pakistan. Aliuawa mnamo tarehe 2/5/2011.Kila mtu na amkumbuke awezavyo...
Alaaah; Unakumbuka; kweli hasauliki nafikiri magazeti yote yatatumia kumbukumbu za mheshimiwa huyo ili wajipatie mauzo yao na wanyanyue kipato chao !! Wenzie wanaendelea na msafara na wengine wanamlilia na wengine wanaomboleza masikiniwee na siajabu anakula sahani mojana na wastaafu waliye mlea. Sisi tunachukuliwa maboya !!
 
Hicho kichwa cha Habari ulivyoandika nikajua una mwanao anaitwa Osama ndio unatupasha habari anatimiza miaka miwili leo! Nikakimbia kuja kuimba Hepi Besdei tuyuu kwa Osama ...kumbe Duuuuh!
bin laden was a nice man bro.
 
bin laden was a nice man bro.
Hata kwao Saudi Arabia wanasema huyu alikuwa muovu. Walimzuia hata kurudi nchini kwake mwenyewe.

In any case kumtetea mtu anayepanga na kutekeleza mauaji ya wengi wakiwemo watoto wadogo ni ujasiri hasa.
 
what about Bush and his irag,afaghn wars which killed hundred of thousands.
 
Back
Top Bottom