Sasa kupunguza buku mbili na uo mkubwa buku 4 ni kupunguza bei au kubadilisha namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kupunguza buku mbili na uo mkubwa buku 4 ni kupunguza bei au kubadilisha namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama za mafuta ya taa ama mkaa ni kubwa zaidi kulinganisha na za gas kwa muda wa matumizi, pia gas inaokoa mudabado bei si rafiki kwa watanzania walio wengi
Sisi ni nchi tajiri tena ya WANYONGE,wamefanya makosa kushusha bei,ilitakiwa ipande zaidi,mbona mafuta ya kipanda hamulalamiki?bado bei si rafiki kwa watanzania walio wengi
okSisi ni nchi tajiri tena ya WANYONGE,wamefanya makosa kushusha bei,ilitakiwa ipande zaidi,mbona mafuta ya kipanda hamulalamiki?
Walee mliokuwaa mkimtukana basiasi njoooni hukuu
oryx gas wamepunguza gesi kuanzia kesho 4-3-2020
KG 6 BEI YA KUUZA 20" 000
BADALA YA 22" 000 YA AWALI
(2000) diff
KG 15 BEI YA KUUZA N 50'000
BADALA YA 54" 000 YA AWALI
(4" 000) diff
TUNASHUKURU KWA USHIRIKIANO WENU
ORYX GAS PAMOJA NAWE DAIMA
45000Huo wa kg 15.bei ya jumla ni 46,000.
Faida 4,000..
Kuuza gesi kunahitaji uvumilivu.
Kuna watu wanakaa na gesi hadi miezi mitatu haijaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ugumu wa maishaHuo wa kg 15.bei ya jumla ni 46,000.
Faida 4,000..
Kuuza gesi kunahitaji uvumilivu.
Kuna watu wanakaa na gesi hadi miezi mitatu haijaisha
Sent using Jamii Forums mobile app