Aaaaaaah wapi! Kuna mtu nilimfanyia mpango kwa HR mmoja hivi, nikampa email atume cv na veti! Basi kujifanya mwema sanaaa kawapa na wezie afu vipanga zaidi yake na veti vizuri haswaaa!
HR akawapambanisha kwenye interview likachemka bwanaaaaa! Akanifata kulia lia nikamwambia ukomeeee! Kiherehere chako kimekuponza! Aliekutuma ujiongezee ushindani nani?
Ungepeleka mwenyewe ioneka kuna under application uajiriwe na ubovu wako! Mpaka leo anatafuta kazi.
Kwenye kazi hakuna urafiki, ni kama vitani! Winner takes it all!!!!!!!!!!