Orodhesha Matukio Yaliyochefua Zaidi Mwaka 2011

1.Babu wa loliondo


2.kuuwawa kwa osama bin awadh bin muhamad bin laden mwanzoni kabisa mwa mwezi may 2011

3.kuuwawa kwa aibu kwa kanali muamar ghaddafi

4.Noti mpya Tanzania na kizazaa cha kutokukubalika kwake..hehehe
 
Usafirishaji wa wanyama pori kwenda Qatar,
Afande shimbo kumiliki trillion tatu,
Jk aikana Richmond na Dowans
 
1. Uchaguzi jimbo la igunga
2. Masoko kuwaka moto
3. Migomo vyuo vikuu
4. Wanafunzi wengi 4m4 2010 kufel
5. Tume nyingi
 
Kuwafanya wahanga wa mafuriko dar dili kwa kuchangisha michango isiyotumika ipasavyo
 
Back
Top Bottom