Orodha ya wasomi tuliopoteza

Orodha ya wasomi tuliopoteza

Kolimba alikufa baada ya kunywa maji wakati wa kuhojiwa na kamati kuu ya ccm!!!

Mkuu mbona naskia,alipotezwa kwa sumu iliyoekwa kwenye maiki ya kuongelea,alipohtajika ajitete kwenye kamati kuu,ile anaanza tu kusema hallo!hallo!mara chari....kumbe sumu imetegeshewa kwenye maiki,tofauti na hii ya kuweka sumu kwenye kitauro cha kujifutia mikono baada ya kula waliyotaka wamuulie Mwakyembe,maCCM mungu awalani kwa kweli na muangamie....
 
Kuna wimbi la taifa kupoteza wasomi kwa kushambuliwa na majambazi. Kabla ya Dr Mvungi, Prof. Mwaikusa aliuwawa July.2010.. Wanajamii taja wengine.. ..

Wangapi tumepoteza wapendwa wetu na dunia haijui?
au ukiwa na kisomo hasara ya roho haizidi kisomo? tunakuja bila kisomo na tunaondoka bila kisomo.
R.I.P Dr Sengondo.​
 
NICAS MAINDA.alikuwa na kiwanja Mbezi
ambacho hakijajengwa. akaja
Mzungu fulani akajenga kwenye
kile kiwanja. mahinda akamuacha
Mzungu akajenga nyumba
ghorofa hadi ikaisha. Ilivyo isha
mahinda akamwambia mzungu
nipe funguo za nyumba yako
sababu umejenga kwangu. baada
ya kufuatilia wakaona ni kweli.
mzungu akaomba waongee
mahinda kakataa. Mzungu
kapanda ndege kurudi kwao.
baada ya mda mahinda
akauwawa. je hapo kuna
uhusiano kati ya mzungu na
kifo?. mwenye details atusaidie.
Huyo Mahinda alikuwa mtapeli....ww unaona mtu anajenga kwenye kiwanja chako upo kimya!!??
Wamemaliza kujenga anakuja kudai eneo ...anaombwa wakae waongee anakataa unategemea nn hapo?
 
Yupo pia Professa LIVIGHA nguli wa TASNIA YA UTAWALA UDSM aliuwawa Nyumbani kwake Changanyikeni. Nitakumbuka sana offa za Prof. LIVIGHA kwenye kipindi chake wakati ambao Arsenal ilikuwa inashinda Mechi za EPL lazima darasa zima mpigwe maji ya Kilimanjaro.
 
VENANCE FUPI Chief chemist TBS,alifariki ghafla kwa mshituko wa moyo baada ya kukagua ngano ya ME LIMITED sample aliyotest akakuta haina ubora
Huyu walimfuata nyumbani kwake wakaruka ukuta akapiga simu police haikupokelewa. Wakavunja milango wakamaliza kazi lkn report ya police ikasema vingine kabisa. RIP Dr. Fupi
 
Hakuwa çhief çhemist TBS bali alikuwa mkemia mkuu wa serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni ya METL ilitiliwa sana mashaka waqt wa kifo cha Fupi. Ila kwa rushwa ilivyoshamiri nani angefungua mdomo? Usije ukamruhusu mwanao au mkeo au mumeo akawa polisi Tanzania. Wanapata tabu sana wanapostaafu na wanakufa vifo vibaya sana. Kuna mmoja hapa jirani alikua RPC sasa hivi anauza pombe haramu ya gongo kwa ma bodaboda
 
Ninasikitika sana tulivyompoteza na tunavyoendelea kumpoteza mheshimiwa John Mnyika. Huyu jamaa laiti asingekuwa sehemu alipo angekuwa chachu kubwa sana ya maendeleo hapa nchini..
 
mkuu unaogopa kung'olewa meno na kucha bila ganzi? Dah hatari sana walale mahala pema amen😛rof Juan Mwaikyusa,Prof Wambali,Prof Babu ,Prof Chachage,Dr Mvungi,Prof Saitoti,Prof Garang John.
Prof.Kulaba alikuwa Chuo kikuu Ardhi yupo mwananyamala kwao bukene amechoka ile ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom