Orodha ya wasanii wanao sifu matumizi ya dawa za kulevya kwenye nyimbo zao.

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
ORODHA YA WASANII WANAO SIFU MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA KWENYE NYIMBO ZAO.



Orodha ni ndefu sana, nitaorodhesha wachache na wengine mtajazia:


1. Inspekta Haroun kwenye wimbo NGANGARI.

"Stimu Za Bia hazitutoi mpaka tupate xhuuuuu! Na kachaso "

2. Inspekta Haroun kwenye wimbo NJE NDANI

" Yap yap Producer Majani, Ziggy ishanyongwa wapi nali" ?

3. Dully Sykes kwenye wimbo NYAMBIZI

" Nilikuwa jicho nyanya, siku hiyo nilikula ndumu "

4. Juma Nature kwenye wimbo Jinsi Kijana

" Hiyo mibangi tunayo vuta ni stimu za kulanduka, kama sio fani yako kwa kweli utaumbuka "

5. Mandojo na Domo Kaya kwenye wimbo NIKUPE NINI


" Nikikumbuka huwa nalia halafu natulizia na ganja "


6. Sista P kwenye wimbo DJ

" Ninapo pata xhuu xhuu…………………………."

7. Mwana FA kwenye wimbo ( jina nimelisahau )

" Nyama choma na xhuuu xhuu sio kitu pekee nijuacho …."

8. Profesa Jay Katika Wimbo ZALI LA MENTALLY

" Zilipita siku mbili sikujua kilichotokea , nikawaza huyu ni demu au jinni amentokea
Potelea mbali uchawi hauendi kwa mentally, narudi NANYONYA NAPULIZA mentali nakuwa shwar
i.

9. KR kwenye wimbo KAMUA

" Inakuwa vipi upanga east upanga coast, huuu karibu basi tule DUPU, M 2 the P ananyaka flag hii natambaa na chati hii na narusha fataki……………"

10. Lady Jay Dee kwenye wimbo NAKUPENDA

" Usiku wa manane, nakuwaza sana moyoni, ili kujituliza, ninapata XHUU XHUU.

11. Lord Eyez kwenye wimbo Bang

" Na ganja tunabana kwenye klabu za maana "

12. FEROOZ kwenye wimbo TWENZETU wa Chegge

" Wazee wa CHAUKUCHA pia tupo "


Wasanii wa bongo mnapaswa muachane na aina hii ya uandishi kwani inaweza kuleta impact kubwa kwa vijana wetu ambao wengi wao hujifunza mambo mengi kutoka kwenu.





R.I.P ALBERT MWANGEA
 
It's a culture. wasanii wanaimba kile watu wanapenda.

Kweli kabisa,wasanii ni kioo chamii,tukiwataza kwa mienendo na tabia zao tunapata taswira ya jamii,hembu tazama wasanii flan flan ndo utajua kuna upande jamii inakansa na kuna upande iko poa.tatizo liko kwenye jamii yetu. wanayoyaingiza na kuwaokotesha makopo masela they r somewhere out there havin funny. Tunafanyaje kama vijana tusiotumia mihadarati.
 
Kuna wimbo wa prophet benjamin unaitwa field of weed. Anasifia bange anaponda madawa. Jah rastafarai
 
ORODHA YA WASANII WANAO SIFU MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA KWENYE NYIMBO ZAO.



Orodha ni ndefu sana, nitaorodhesha wachache na wengine mtajazia:


1. Inspekta Haroun kwenye wimbo NGANGARI.

“Stimu Za Bia hazitutoi mpaka tupate xhuuuuu! Na kachaso “

2. Inspekta Haroun kwenye wimbo NJE NDANI

“ Yap yap Producer Majani, Ziggy ishanyongwa wapi nali” ?

3. Dully Sykes kwenye wimbo NYAMBIZI

“ Nilikuwa jicho nyanya, siku hiyo nilikula ndumu “

4. Juma Nature kwenye wimbo Jinsi Kijana

“ Hiyo mibangi tunayo vuta ni stimu za kulanduka, kama sio fani yako kwa kweli utaumbuka “

5. Mandojo na Domo Kaya kwenye wimbo NIKUPE NINI


“ Nikikumbuka huwa nalia halafu natulizia na ganja “


6. Sista P kwenye wimbo DJ

“ Ninapo pata xhuu xhuu………………………….”

7. Mwana FA kwenye wimbo ( jina nimelisahau )

“ Nyama choma na xhuuu xhuu sio kitu pekee nijuacho ….”

8. Profesa Jay Katika Wimbo ZALI LA MENTALLY

“ Zilipita siku mbili sikujua kilichotokea , nikawaza huyu ni demu au jinni amentokea
Potelea mbali uchawi hauendi kwa mentally, narudi NANYONYA NAPULIZA mentali nakuwa shwar
i.

9. KR kwenye wimbo KAMUA

“ Inakuwa vipi upanga east upanga coast, huuu karibu basi tule DUPU, M 2 the P ananyaka flag hii natambaa na chati hii na narusha fataki……………”

10. Lady Jay Dee kwenye wimbo NAKUPENDA

“ Usiku wa manane, nakuwaza sana moyoni, ili kujituliza, ninapata XHUU XHUU.

11. Lord Eyez kwenye wimbo Bang

“ Na ganja tunabana kwenye klabu za maana “

12. FEROOZ kwenye wimbo TWENZETU wa Chegge

“ Wazee wa CHAUKUCHA pia tupo “


Wasanii wa bongo mnapaswa muachane na aina hii ya uandishi kwani inaweza kuleta impact kubwa kwa vijana wetu ambao wengi wao hujifunza mambo mengi kutoka kwenu.





R.I.P ALBERT MWANGEA

Mi sio mpenzi wa haya manyimbo ya bongo fleva ila kwa jinsi ulivyo iwakilisha hapa nimekukubali 100
 
Kwani bado hamjakubali tu kuwa ule (fleva) si muziki, bahati mbaya tu kwa bidii ya Clouds media na promosheni zao za kutaka kuua muziki asili wa Tanzania watu wanaupenda ila si muziki wa mtu mwenye akili timamu kuufagilia. Wale Clouds walikuwa wanaupromote huu muziki kwa manufaa ya Ruge ili ajitengenzee pesa na ndiyo maana sasa mabaya yake (Ruge) yanaanikwa na baadhi ya wasanii baada ya kuhamka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom