Orodha ya wanafunzi waliokataliwa na Muhimbili University

Orodha ya wanafunzi waliokataliwa na Muhimbili University

Ufaulu wako ni mdogo

Ninavyojua tcu humchagua mtu chuo fulani kulingana na vigezo vya hicho chuo sasa inakuaje mtu achaguliwe halafu chuo kiseme ufaulu wake ni mdogo na amekidhi vigezo? Mbona hata udsm kuna watu kama wawili(wasichana) wana GPA ndogo kabisa ila wamechaguliwa MD au ndo lady first? Lazima kuna kitu ambacho hatukijui hapa.
 
Back
Top Bottom