Orodha ya wanafunzi waliokataliwa na Muhimbili University

Orodha ya wanafunzi waliokataliwa na Muhimbili University

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
5,882
Reaction score
6,650
Wakuu,ifuatayo ni orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kozi mbali mbali pale Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi ya Tiba Muhimbili

Aidha,kwa chini yake kuna orodha ya wanafunzi ambayo Senate ya chuo imejiridhisha kuwa hawana sifa za kujiunga na chuo hiki na hivyo wanashauriwa kuwasiliana na TCU ili wapangiwe vyuo vingine

Ahsanteni na hongereni wote mliochaguliwa
 
Attachments

Tobaaaaaaaa!! Sasa nasis Udsm itakua hivyo!!? Maana tunasubir confirmation kutoka chuoni
 
Tobaaaaaaaa!! Sasa nasis Udsm itakua hivyo!!? Maana tunasubir confirmation kutoka chuoni

We wa udsm tembelea website ya chuo mbona wametoa mda tu mi nna rafiki yangu nae 2nd round kashachaguliwa but profile yake bado imeandika waiting for appproval
 
Ilikuwa ni jana Ijumaa nimekaa naangalia Luninga ndipo nikafungulia SKY SPORTS TV ndipo nikashuhudi Sven Goran Erikson akiwatambulisha wachezaji aliowasajili kwaajili ya Msimu ujao wa Manchester City sasa kituko kilifuatia:

Kwa kuonyesha kujiamini sana na Kazi yake aliwaambia "KARIBUNI SANA MANCHESTER UNITED" hapo ndipo watu wote wakaanza kuangua kicheko.

http://www.skysports.com/video/0,20285,12606_2639570,00.html

Bila ya kusahau inasemekana kwamba SGE amesajili wachezaji bila hata ya kuwaona live wakicheza kwa kujitetea anasema amepata msaada wa Video ingawa kwangu sioni kama ni Tatizo ingawa wengine amewajua kutokana na Umbea kutoka kwa washikaji zake .

Quatation from The Sun "he admits he has not seen many of his captures play live and has been forced to rely on videos and the word of his pals".

http://www.thesun.co.uk/article/0,,2002390000-2007351044,00.html

Kumbe Man Utd inapendwa hivi!

Mim napitia Nacte, ktk profile yangu ipo selected but wait for confirmation from University
 
Hivi inakuaje TCU wakuchague kwenye chuo fulani kwa vigezo vya hicho chuo halafu kije kikukatae, maana kama ni hivi ni bora wanafunzi waruhusiwe kutuma maombi kwenye chuo husika directly.
 
Hivi inakuaje TCU wakuchague kwenye chuo fulani kwa vigezo vya hicho chuo halafu kije kikukatae, maana kama ni hivi ni bora wanafunzi waruhusiwe kutuma maombi kwenye chuo husika directly.

Hata mm nazan Hamna umuhmu wa TCU book
 
Wakubwa mliokumbwa na balaa hilo poleni sana.. ila hii ndio TANZANIA YETU.

Pia msiache kumshukuru mungu katika hali zote,kipo ambacho yeye (M/Mungu) alikupangia mahsusi kabisa,mkumbuke kisicho riziki hakiliki!
 
Hivi inakuaje TCU wakuchague kwenye chuo fulani kwa vigezo vya hicho chuo halafu kije kikukatae, maana kama ni hivi ni bora wanafunzi waruhusiwe kutuma maombi kwenye chuo husika directly.
MUHAS tu nao wanamatatizo.
 
Hivi inakuaje TCU wakuchague kwenye chuo fulani kwa vigezo vya hicho chuo halafu kije kikukatae, maana kama ni hivi ni bora wanafunzi waruhusiwe kutuma maombi kwenye chuo husika directly.

Ufaulu wako ni mdogo
 
Hizo mishe za kukatwa ziishie hukohuko. Muhimbili na udsm c vyuo vyetu tnatka stress za heselb2 tcu htuna mpango nayo tena.......
 
Wakubwa mliokumbwa na balaa hilo poleni sana.. ila hii ndio TANZANIA YETU. Pia msiache kumshukuru mungu katika hali zote,kipo ambacho yeye (M/Mungu) alikupangia mahsusi kabisa,mkumbuke kisicho riziki hakiliki!

Daah mkuu umeniquote lakini mimi sio miongoni mwao,mimi nipo MUHAS toka kitambo mkuu wanagu najaribu kuwapa vijana updates
 
daa ina shock ila musihofu wenzangu mungu baba yupo kwan naamiuni mlangpo mmoja ukifunga mwingine unafunguka. stay blessed guyz
 
Hivi inakuaje TCU wakuchague kwenye chuo fulani kwa vigezo vya hicho chuo halafu kije kikukatae, maana kama ni hivi ni bora wanafunzi waruhusiwe kutuma maombi kwenye chuo husika directly.
hata mi nimejiuliza hvi senate ni kubwa kuliko TCU? Kweli ni bora kila MTU atume chuoni moja kwa moja ujue kama kinanuka au VP? Sasa Mara huyu anafaa Mara huyu hafai!! Huu utoto sasa!!!!
 
Back
Top Bottom