Ombenichelsea JF-Expert Member Apr 11, 2013 726 1,004 Oct 18, 2017 #1 Tazama kama umefanikiwa kupata mkopo chuo kikuu .... Attachments batchone_loansallocation.pdf 4.5 MB · Views: 768
mkai msangi Member Feb 6, 2017 49 17 Oct 18, 2017 #3 Kupata chuo ni ishu nyingine kupat mkopo pia ni ishu nyingine
C costa doncway Member Oct 5, 2017 65 17 Oct 18, 2017 #6 Jaman kun uhusiano kat ya faculty uliyochaguliwa na kupata mkopo au kukosa?
Mkwawa mnyalukoro JF-Expert Member Oct 11, 2017 232 136 Oct 19, 2017 #8 Jamani nauliza kwa mliopata loan HV kuna ambaye hakuhakiki cheti cha kuzaliwa rita na kapewa mkopo?