Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,741
Pole mwalimu
Hahahahahaahahaaaaa mwezi huu unaweza kuombwa hela kuona orodha.Kama wewe ni mwl basi ofisi zako za kazi zina taarifa zote nenda huko utapata mubashara
Hapana mkuu maana mi sio mhusika na sekta ya elimuOrodha vipi unayo? Asante
Hapana mkuu maana mi sio mhusika na sekta ya elimu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Poa Chief Olanyelakakomu..................kwa kibantu maana yake nini maana kwa kikwetu ni kuwa "tanyea kidole"
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mndali __kabila
Ndanyela ___ sijaruka
Kakomu _____vizuri
Hapo umenielewa?
Baadhi ya halmashauri tayari walimu wana barua ila malipo wameambiwa watadai ,hivi ni haki kweli? mbona umekuwa ni uonevu ukizingatia mtu anapelekwa karibia 7 kilometa atawahi vp kufika shule? stahiki zao wangepewa ili hata wajihamishe wawe karibu na vituo vyaoWadau hope mko salama,
Naomba kama kuna aliyepata orodha ya walimu wanaoenda Primary kutoka Secondary anisaidie hapa. Najua JF huwa hakikosekani kitu. Matumbo joto hapa. Pia niliona kuna ka alama ka figure za uhamisho....Pia nataka nione kuna Shillingi ngapi ili nifuatilie hela hizo fasta maana sio kwa mwezi huu kukaza. Asanteni.
Sawa mkuu maneno ya kibantu huwa yanaingiliana japo maana inaweza kuwa tofautiMhaya_________Kabila
Ndanyela_______Nitanyea
Kakomu/Kakumu_____Kidole Kidogo
NI hayo tuu
Mkuu weka jina lako hapa nikuangalizie
Baadhi ya halmashauri tayari walimu wana barua ila malipo wameambiwa watadai ,hivi ni haki kweli? mbona umekuwa ni uonevu ukizingatia mtu anapelekwa karibia 7 kilometa atawahi vp kufika shule? stahiki zao wangepewa ili hata wajihamishe wawe karibu na vituo vyao
HahahahahahaMkuu...........sasa si ndo najimaliza. Mkuu
akakumuPoa Chief Olanyelakakomu..................kwa kibantu maana yake nini maana kwa kikwetu ni kuwa "tanyea kidole"