Orodha ya vitabu nilivyosoma mwaka huu 2020

Kama ni msomaji wa makala za Pascal Mayalla basi wewe ni punguani!
 
Kusoma vitabu 52 kwa mwaka siyo mchezo,nina uhakika kabisa hata mboo haiwezi kusimama kwa muda wote huo!
By the way kusoma vitabu nacho nadhani ni kipaji au tuseme hobby na mbona wengine hapa tukiuliza mmekunywa bia lita ngapi utakuta watu wamekunywa hadi madsimtenk kadhaa. Kuna watu mnakesha kuangalia series na masultan yenu mda wote. Mimi binafsi movies ni zero interest. Lakini kukesha nasoma novel au kulala night Kali ni kawaida sana.
 
Lengo lako hasa lilikuwa nini? Je, nikupitia maandishi ya vitabu kwa idadi kubwa, au kulina maarifa,hekima na burudani? If you read it seriously and still remember its title then you haven't read but drilled.
 
List yangu ni:
1. The tipping point
2.Solving the procrastion puzzle
3.Personal MBA
4.Mars and Venus in Bedroom
5.contagious
6.Talk like TED
7.Pitch anything
8.How to live 24days a day
9. This book will teach you how to write better

Mostly natumiga Audiobooks

Recommendations kwa Sex zote
Mtu asome vitabu yote ya John Gray
Vinahusu mahusiano

Maana Baadae ya Mathematics mahusiano yamekuwa tatizo la pili zito kwa watu wengi

1. Men from Mars and women from Venus
2.Mars and Venus in Bedroom
3.What your mother coudn't tell you and your didn't know.
 
Vitabu ulivyovisoma ni hivyo vitatu vya mwanzo na ndio maana umevitolea maelezo kidogo.

Hivyo vingine umegusa gusa tu au umesoma Chambuzi za wengine kuhusu vitabu hivyo.
 
Ndugu kama Soft unayo siungetupia humu kila mtu apakue na kuvisoma ili wote tufaidike
 
Hongera sana watu tuko tofauti mm kusoma vitabu vingi siwezagi .ila wewe visome unisimulie na copy and paste.hata shule nilikuwa sipendi kwenda maktaba. Kazi nilikuwa namalizia darasani. Hata mfano lecture aloutoa kwa kuongea, kwenye mtihani ataukuta kwa paper. Nikikosa kipindi nilikuwa naumia maana siwezi elewa tena ati niende kujisomea? No.😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…