Orodha ya vitabu nilivyosoma mwaka huu 2020

Binafsi nimesoma makala za kusisimua za Pascal Mayalla humu JF na za wachangiaji wengine. Napenda sana kusoma na kujiongeza maarifa kwa kusoma vitu vinavyo endana na taaluma yangu ya Business Management ila sipendelei kusoma habari za watu ama maisha ya watu na nikijitahidi kusoma hata kurasa mbili tu nasinzia. Yaani sijuwi nikoje, sioni kabisa umuhimu wa kujuwa maisha ya watu, sipendi umbea.
Kama ni msomaji wa makala za Pascal Mayalla basi wewe ni punguani!
 
Kusoma vitabu 52 kwa mwaka siyo mchezo,nina uhakika kabisa hata mboo haiwezi kusimama kwa muda wote huo!
By the way kusoma vitabu nacho nadhani ni kipaji au tuseme hobby na mbona wengine hapa tukiuliza mmekunywa bia lita ngapi utakuta watu wamekunywa hadi madsimtenk kadhaa. Kuna watu mnakesha kuangalia series na masultan yenu mda wote. Mimi binafsi movies ni zero interest. Lakini kukesha nasoma novel au kulala night Kali ni kawaida sana.
 
Lengo lako hasa lilikuwa nini? Je, nikupitia maandishi ya vitabu kwa idadi kubwa, au kulina maarifa,hekima na burudani? If you read it seriously and still remember its title then you haven't read but drilled.
 
List yangu ni:
1. The tipping point
2.Solving the procrastion puzzle
3.Personal MBA
4.Mars and Venus in Bedroom
5.contagious
6.Talk like TED
7.Pitch anything
8.How to live 24days a day
9. This book will teach you how to write better

Mostly natumiga Audiobooks

Recommendations kwa Sex zote
Mtu asome vitabu yote ya John Gray
Vinahusu mahusiano

Maana Baadae ya Mathematics mahusiano yamekuwa tatizo la pili zito kwa watu wengi

1. Men from Mars and women from Venus
2.Mars and Venus in Bedroom
3.What your mother coudn't tell you and your didn't know.
 
Vitabu ulivyovisoma ni hivyo vitatu vya mwanzo na ndio maana umevitolea maelezo kidogo.

Hivyo vingine umegusa gusa tu au umesoma Chambuzi za wengine kuhusu vitabu hivyo.
 
Jumla ya orodha ya vitabu nilivosoma mwaka 2020

1. Bibilia Takatifu(sijaimaliza lakini nakisoma kila siku kama sehemu muhimu ya chakula cha kiroho)

2. Mossad (Moja ya vitabu bora kabisa katika Nyanja za Operesheni za Kijasusi katika historia ya Taifa la Israel

3. Tough times never Last but Tough people Do(Hiki ni muhimu kila mmoja akatafuta nakala yake,ni kitabu bora kabisa,kina mafundisho mengi ya maisha

4. The Angel by Uri Bar Joseph

5. Che Guevara Biography by Richard Harris

6. The New World Order by Ralph Epperman

7. The Intelligent Investor-By Benjamin Graham

8. Why Men Love Bitches by Sherry Agrov

9. Spy the lie by Philip Houston,Michael Floyd and Susana Carnicero

10. Eyes on Darkness by Dean Koontz

11. Gods Generals by Roberts Liardon

12. Spirit war by Ronald Niezen

13. Start with Why by Simon Sinek

14. Rich Dad Poor Dad (Marudio)

15. Plague of Corruption by Kent Heckenlively and Judy Mikovits

16. Woman who love too much by Robin Norwood

17. The Secrets of Word-of-Mouth Marketing by George Silverman

18. Switch on your brain by Dr Caroline Leaf

19. AUTOMATIC CUSTOMERS by John Warrilow

20. Shall We Tell the President?by Jeffrey Archer

21. Life is what you make it by Preeti Shenoy

22. THE ADVENTURES OF SHERLOCK HOLMES BY SIR ARTHUR CONAN DOYLE

23. See You at the Top by Zig Ziglar

24. The Success principle by Jack Carnfield

25. Brain Rules by John Medina

26. Black Genesis by ROBERT M. SCHOCH,

27. Pan Africanism-by Hakim Adi

26. How to Negotiate Anything with Anyone Anywhere Around the World by Frank Acuff

27. My Life by Bill Clinton

28. Opereshen Rwanda by Japhet Nyangoro

29. Saa 72 by Japhet Nyangoro

30. Panama by Japhet Nyangoro

31. The Monk who sold his Ferrari(Marudio)by Robin Sharma

32. An Impeccable Spy by Owen Mathews

33. Animal Farm (marudio) George Owen

34. Arranged Marriage by CHITRA BANERJEE DIVAKARUNI

35. Becoming by Michelle Obama

36. Promised land by Barak Obama

37. Countdown to Zero day by Kim Zetter

38. The Origins of Christianity and the Quest for the Historical Jesus Christ by Acharya S

39. Deeper State by Robert Maginnis

40. MAKE YOURSELF A MILLIONAIRE by Charles Zhang

41. Mental Slavery by Hugo Africa

42. Millionare Success habit by Dean Graziosi

43. The Natural Remedies Encyclopedia by Vance Ferrel

44. Operation Gladio by Paul Williams`

45. UNLEASH THE WARRIORWITHIN

RICHARD(marudio) “MACK” MACHOWICZ

46. The rules of work(marudio) by Richard Templar

47. Shoe Dog by Phil Knight

48. Start your own Business(marudio) by the Staff of Entrepreneur Inc

49 . THE NEW CONFESSIONS OF AN ECONOMIC HIT MAN by John Perkins

50. Wisdom 2019 by Elijah Mwape

51. Rise and kill first by Ronen Bergman

52. Does State Spying Make us Safer? By Hayden and Dershowitz vs Greenwald and Ohanian

chanzo Ephata Nanyaro ni memba hapa muulizeni
Ndugu kama Soft unayo siungetupia humu kila mtu apakue na kuvisoma ili wote tufaidike
 
Hongera sana watu tuko tofauti mm kusoma vitabu vingi siwezagi .ila wewe visome unisimulie na copy and paste.hata shule nilikuwa sipendi kwenda maktaba. Kazi nilikuwa namalizia darasani. Hata mfano lecture aloutoa kwa kuongea, kwenye mtihani ataukuta kwa paper. Nikikosa kipindi nilikuwa naumia maana siwezi elewa tena ati niende kujisomea? No.😂😂😂
 

Attachments

  • 16084463283863429304266977215315.jpg
    16084463283863429304266977215315.jpg
    173.2 KB · Views: 11
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom