Jerusalem2006
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 306
- 1,486
Habari wakuu!, Naomba kujua wapi naweza kupata orodha ya shule binafsi Tanzania? Iwe ofisi au mtandaoni. Nina shida nayo sana.
Nahitaji list ya shule zote za binafsi, nursery, primary, secondary (o-level), secondary (a-level), nimeishia kupata secondary tu nazo za Dar es salaam. Msaada tafadhali.Zipo nyingi sana ndugu
Labda uingie website ya necta uoande wa matokeo uende kila mkoa, wilaya ucopy. Ndiyo itapata shule zote nchiniHabari wakuu!, Naomba kujua wapi naweza kupata orodha ya shule binafsi Tanzania?,iwe ofisi au mtandaoni. Nina shida nayo sana.
Shukrani mkuu, ngoja nijaribu kutumia njia hiyo nione itakuwajeLabda uingie website ya necta uoande wa matokeo uende kila mkoa, wilaya ucopy. Ndiyo itapata shule zote nchini