Orodha ya programu/apps zilizotengenezwa na Watanzania

Orodha ya programu/apps zilizotengenezwa na Watanzania

kuna app ya notes za o-level na a-level zote imetengenezwa na mr jacob noel urasa ipo kwenye play store inaitwa "htl".
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1422015809718.jpg
    uploadfromtaptalk1422015809718.jpg
    52.4 KB · Views: 360
  • uploadfromtaptalk1422015857994.jpg
    uploadfromtaptalk1422015857994.jpg
    14.2 KB · Views: 329
  • uploadfromtaptalk1422015880705.jpg
    uploadfromtaptalk1422015880705.jpg
    38.7 KB · Views: 328
Any one anayetaka kutengenezewa app yoyote ya mtandao wake anitafute mm natengeneza app za haina yoyote ikiwa blog, chatting tatzo cwez publish itachukua mda sana kujulikana na watu kujua tatizo tanzania ni zngum kujulikana tunashndwa kuendelea kubun.
 
any one anayetaka kutengenezewa app yoyote ya mtandao wake anitafute mm natengeneza app za haina yoyote ikiwa blog ,chatting tatzo cwez publish itachukua mda sana kujulikana na watu kujua tatizo tanzania ni zngum kujulikana tunashndwa kuendelea kubun
Weka links hapa!
 
Sasa huyu jamaa aliyetengeneza hizi notes na sera ya elimu ndio hvyo tena , kiswahili mwanzo mwisho.. Atafanyaje na hii app yake
 
kuna game yeyote ambayo imeundwa na watanzania.
 
Back
Top Bottom