Orodha ya programu/apps zilizotengenezwa na Watanzania

Orodha ya programu/apps zilizotengenezwa na Watanzania

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,377
Tukiachana na hali halisi tupo nyuma kwenye huu uwanja wa apps development hapa bongo, bado kuna watz wanajikita kutengeneza apps japo wengi hatuzifahamu , kuna kipindi nilisikia kuna mwanafunzi alitengeneza game la bao pale i.f.m nilifurahi

Japo sikifatilia kama ali-code mwenyewe au la, ni wakati wa kujivunia tulivyonavyo watanzania,

Tupia apps za simu au program za computer hapa zilizotengenezwa na wa-tz ili tuweze kunufaika kwa njia moja au nyingine
 
tukiachana na hali halisi tupo nyuma kwenye huu uwanja wa apps development hapa bongo, bado kuna watz wanajikita
kutengeneza apps japo wengi hatuzifahamu , kuna kipindi nilisikia kuna mwanafunzi alitengeneza game la bao pale i.f.m nilifurahi
japo sikifatilia kama ali-code mwenyewe au la, ni wakati wa kujivunia tulivyonavyo watz,

tupia apps za simu au program za computer hapa zilizotengenezwa na wa-tz ili tuweze kunufaika kwa njia moja au nyingine

App ya Vat pamoja na ya kutunza rekodi za hundi(check/cheque)
 

Attachments

tukiachana na hali halisi tupo nyuma kwenye huu uwanja wa apps development hapa bongo, bado kuna waTZ wanajikita kutengeneza apps japo wengi hatuzifahamu , kuna kipindi nilisikia kuna mwanafunzi alitengeneza game la bao pale IFM nilifurahi,

Japo sikifatilia kama ali-code mwenyewe au la, ni wakati wa kujivunia tulivyonavyo waTZ,

Tupia apps za simu au program za computer hapa zilizotengenezwa na wa-tz ili tuweze kunufaika kwa njia moja au nyingine

Nafikiri kwa hapa JF kuna huyu kijana Nyasiro kazi zake tumeziona

1506382_587840758004131_2042181814442077210_o.jpg
 
Dar Maps android app,link hii itakupeleka playstore mojakwamoja https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sheldon.serious.darsearch
 
Last edited by a moderator:
Kuna dogo wa IFM kaishtua blog ya fid Q watu wamemweka under custody, raia kama wale wangechukuliwa wakapige code za issue za security, even fid Q mwenyewe angemchukua awe anamlipa kisela, sasa hii inawakatisha tamaa developers wengi wa Tanzania.
 
Kwani waliotengeneza jf apps sio wabongo kudos to them..

Have feeling JF is forum website template download which you reset default parameters to give it individual look. Have seen strikingly similar looking forums to JF on web.
 
Have feeling JF is forum website template download which you reset default parameters to give it individual look. Have seen strikingly similar looking forums to JF on web.

kaka simplemind hujamsoma vizuri. hajasema "website" kasema "application" either ya kwenye Android or iOS. JF app imetengenezwa na nani? ndio swali, kama wabongo Big UP
 
Last edited by a moderator:
kuna dogo wa IFM kaishtua blog ya fid Q watu wamemweka under custody, raia kama wale wangechukuliwa wakapige code za issue za security, even fid Q mwenyewe angemchukua awe anamlipa kisela, sasa hii inawakatisha tamaa developers wengi wa Tanzania

Watu kama hao Huko selo ndo wanakostahili,kwani wanasoma ili waje wahack blog za watu?
 
Tupia apps za simu au program za computer hapa zilizotengenezwa na wa-tz ili tuweze kunufaika kwa njia moja au nyingine

Kasuku Media Player -- Unfinished, poor response -- https://github.com/hosannahighertech/kasuku

Hosanna Studio (see image below) -- Work in Progress, Commercial

PPF Taarifa -- (Developed with PPF DIS Department) -- https://play.google.com/store/apps/details?id=org.ppftz.ppftaarifa

Forum Software (written with Yii2) -- Not Released to Public but powering our forums

Planet Software (written with Yii2) -- Not Released to Public but powering our planet -- http://hosannahighertech.co.tz/blog/

Some of Application from Hosanna Higher Technologies. We have written Libraries and Modules for Yii2, wxWidgets et al see GitHub Repos

https://github.com/hosannahighertech

ide.png

I have personally written some apps including a Professional Bible Study Software (Not released to public but see shot below). See My Repos and Contributions I have done here: https://github.com/mtangoo

biblia.png
 
kuna program(jina siikumbuki) ya hospital pharmacy na medical records kwa ajili ya kumanage taarifa za mgonjwa , nayo imetengenezwa na waswahili japo nna wasiwasi wame customize application ambayo tayari ipo...
 
Back
Top Bottom