Nimesikitika sana kuona John wick chapter 3 imetajwa na mdau mmoja tu, kwa miaka 3 mfululizo ukitaja movie 5 bora huwezi acha John wick labda upange kwa genre, anyway best series mwaka 2020 kwangu ilikuwa
1.Gangs of London
2.Peaky blinders
Ila best series of all time ni Breaking bad, kwa upande wangu