Wonder woman umecheki bloodshot too much computerKumbe wewe hujui muvi. Hiyo orodha ya kwanza nimeona mbili tu ama tatu za maana.
Birds of prey na extaction tena kama ungezipanga kwa ubora wake ingetakiwa ianze hiyo birds of prey ikifiatiwa na bloodshot kisha extraction....
Haha tastes tofauti mkuu,kwangu mimi Extraction ni bora kuliko Bloodshot...Kumbe wewe hujui muvi. Hiyo orodha ya kwanza nimeona mbili tu ama tatu za maana.
Birds of prey na extaction tena kama ungezipanga kwa ubora wake ingetakiwa ianze hiyo birds of prey ikifiatiwa na bloodshot kisha extraction....
Ebhuu ichekiiii....bonge la movie nimefunga nalo mwaka pamoja na ndugu yako JackieChan na kitu chake cha VanguardSijaicheki hiyo kiongozi, Ngoja usiku nitaitafuta. Vipi Tenet
Nb. ndo nini au ulimaanisha NB: ??Nb. Umeielewa vipi??