Orodha ya Majeshi Imara Afrika

Orodha ya Majeshi Imara Afrika

-Hapana silaha kubwa duniani ni binadamu anayeweza kuitengeneza silaha kubwa duniani. Kama hauna huyo mtu utaenda kununua aliyoitengeneza yeye- na madhara yake unayajua.

Kutumia Nuclear sio kuipania vita. Mfano mzuri tu ambao umeutoa Syria utasema US alikuwa anapigana na Syria?? Hajatumia hata 25% ya uwezo wake wa kijeshi Syria[mawazo binafsi] kama sisi tulivyotumia kila kitu Uganda hadi jana madeni tunayo.

Umeshanitoa kwenye hoja ya Zana na bajeti nzuri ni vigezo vya jeshi kuwa bora.
vip kuhusu saudia mwenye bajeti kubwa ya kijeshi lkn kashindwa kutimiza malengo yake yemen
 
Daaaa mbona tz sijaiona maana nasi majeshi yetu yananguvu sana.
Angalia mgomo wa mange kimambi ulivyodhibitiwa kijeshi.
Au tukana mke wa mjeshi uone kazi.
Sasa nashangaa kutokuwa kwenye list.
Ina maana hawaonekani?
 
Back
Top Bottom