Sekibuju
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 317
- 132
Naona unatafuta sababu ya kukumbilia ulaya!Tangu 1978 mpaka Leo mnakula tu shushu
Naona unatafuta sababu ya kukumbilia ulaya!Tangu 1978 mpaka Leo mnakula tu shushu
Wewe hupendi kwenda ulaya mkuu? Unawajua walioficha pesa kwenye mabenki ya ulaya? Wewe ni kibaruaNaona unatafuta sababu ya kukumbilia ulaya!
Nitasema amepakimbia ndiyo lengo lake ilikuwa ni kuangusha utawala wa Bashar al Asad ila lengo limeshindikanaLeo utasema US kapakimbia Syria???
Siyo IS?Nitasema amepakimbia ndiyo lengo lake ilikuwa ni kuangusha utawala wa Bashar al Asad ila lengo limeshindikana
Wewe ilikuwa geresha tu kundi waliunde wao halafu walipige wao nia yao ilikuwa ni AsadSiyo IS?
DuuhWewe ilikuwa geresha tu kundi wali under wao halafu walipige wao nia yao ilikuwa ni Asad
Ww nenda tu mkuu huna haja ya kuomba vita, sisi tuombee tubaki salama, tumeridhika na amani tulionayo.Wewe hupendi kwenda ulaya mkuu? Unawajua walioficha pesa kwenye mabenki ya ulaya? Wewe ni kibarua
Ina maana zile wanazotuonyeshaga wale jamaa zetu ni za jadi?Nguvu ya Jeshi zana. Nnchi zilizo orodheshwa zinamiliki zana modern.
usiwzMfano nchi ambayo haina jeshi?
Hivi unaweza kulinganisha mizinga ya enzi ya Hitler na smart bombs?Ina maana zile wanazotuonyeshaga wale jamaa zetu ni za jadi?
hapo kwenye TISS ipi? how hebu nifafanulie bosskwanza kitendo tu cha kanal kukimbia alivyoona jw imefika ni heshima tosha
alafu kanal alikuwa anapewa bac up na wafaransa hivyo bas atuna namna zaid ya kusema jw ilienda sambamba na ufaransa kama tiss alivyoitesa boss ya makaburu
Siyo lazima uandike ili kufurahisha nanga wenzio, JWTZ ni jeshi letu la watanzania, dharau mnazolipaka haziondoi nguvu na Ari ya utumikiaji wananchi.
Costa rica.Mfano nchi ambayo haina jeshi?
Sio hilo tu.pia jw tulipewa tuzo liberia.km jeshi bora kbs na lenye nidhamu na utii wa hari ya juu.hii ni baada ya kuvunja rekodi ya kkusanya siraha kw waasi wa liberia.kz ambay ECOMONG(mtanisahihisha km nimekosea jina)iliwashinda.Ukisikia fitina ndio hizi, yaani tusiwe kenye best ten? napping kabisaaaaa TZ pekee ndio imewahi kuipiga nchi nyingine afrika na kuupindua uongozi wake kwa nguvu za kijeshi