Orodha ya mabasi mabovu nchini ambayo hushauriwi kuyapanda

Kampuni ishakufa hii
mohamed trans,haya ni kama umekaa kwenye stoo ya skrepa,nashauri ndani wawe na sindano za tetenasi,maana kuchomwa na vyuma ni kitu cha kawaida

nashauri trafiki wawe wanafanya ukaguzi siku moja kabla ya safari
 
Dar e

Dar Express umeisahau nilipanda kwenda arusha nimeshuka nanuka moshi mwili mzima
Mimi natumia Dar express mara kwa mara hivyo nitoe ufafanuzi kidogo;
Dar Express wana mabasi ya Aina mbili; Yale ya Daraja la juu (1st & 2nd Class) nauli yake ni kuanzia 33,000 na kuendelea juu hadi 36,000 hivi

Pia wanayo yale Mabasi ya daraja la kawaida (economy class) nauli yake ni kuanzia 30,000 au chini ya hapo) Nafikiri mtoa mada alisafari kwa yale ya bei poa ( economy coach;
Wakati mwingine jaribu TENA Daraja la juu (zile bei zao zinaendana na Class ya basi utakalo panda). Nauli zao hazipungui/ zipo FIXED; Ukiomba kupunguziwa Ukaona amekubali ujue hajapunguza bali Amekuhamishia kwenye basi la bei poa unalofika bei.
Nafikiri umefahamu wapi ulipo kosea!!!
Jaribu kupanda 1st class ya Dar express ndio urudi hapa kutupa mrejesho!
 
Basi zote za Nzega coach zinazofanya safari kutoka Nzega via Kahama mpaka Geita mjini ni mbovu hazifai, Sijui kwa nini tajiri hajitafakari anasubiri mpaka damu za wana wa Adam zimwagike ndio anunue mpya.
 
Tusiutumie uhuru tulionao hapa Jf kuharibu biashara za watu,Naheshimu sana Michango yako hapa jukwaani lakini kwa hili sikuungi mkono,Kuna karibia mabasi 200 ambayo huondoka hapa Nchini kila siku kuelekea sehemu mbalimbali hapa Nchini na Nje ya Nchi sasa wew umeona hayo tu na umetumia Vigezo gani?
Umewekewa namba ya simu ndani ya basi ili utoe taarifa trafiki au Sumatra endapo utaona hitilafu ya basi, itumie fursa badala ya kuwalinda wahalifu kwa kisingizio cha biashara.
 
Mimi natumia Dar express mara kwa mara hivyo nitoe ufafanuzi kidogo;
Dar Express wana mabasi ya Aina mbili; Yale ya Daraja la juu (1st & 2nd Class) nauli yake ni kuanzia 33,000 na kuendelea juu hadi 36,000 hivi
Pia wanayo yale Mabasi ya daraja la kawaida (economy class) nauli yake ni kuanzia 30,000 au chini ya hapo) Nafikiri mtoa mada alisafari kwa yale ya bei poa ( economy coach;
Wakati mwingine jaribu TENA Daraja la juu (zile bei zao zinaendana na Class ya basi utakalo panda). Nauli zao hazipungui/ zipo FIXED; Ukiomba kupunguziwa Ukaona amekubali ujue hajapunguza bali Amekuhamishia kwenye basi la bei poa unalofika bei.
Nafikiri umefahamu wapi ulipo kosea!!!
Jaribu kupanda 1st class ya Dar express ndio urudi hapa kutupa mrejesho!
POST unazungumzia mabasi mabovu si madaraja, hata kama wanasafirisha bure kama bovu halifai barabarani, jifunze kuelewa hoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom