Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,333
- 8,254
Usijali boss, jaribu bahati yako usiogope.Oya replyini hii comment yangu ili niwe nakuja from time to time kwenye huu uzi unikumbushe kuziapply zote
Nataman sana kupata hizi scholarship lkn sjui nianzaje na naona ili kuapply ni.lazma ulipie si ndio.Usijali boss, jaribu bahati yako usiogope.
Scholarship nyingi huwa ni bure, jitahidi sana kutafuta scholarship na vyuo ambavyo hulipii gharama yeyote wakati wa kufanya maombi.Nataman sana kupata hizi scholarship lkn sjui nianzaje na naona ili kuapply ni.lazma ulipie si ndio
Watu wanapata boss, usikubali kushindwa kwa mambo ya kutumia akili bila gharama. Ukiona umeshindwa maana yake hujatumia akili ipasavyo.Issue inakuja kwenye kupata huo ufadhili….madocuments ni mengi sana isitoshe uzoefu wa kazi,wadhamini na bank Statement iwe vzuri
Nilipataga nafasi uko sweden ila kwenye ufadhili jamaa wakanitema….na ada yao ilikuwa ndefu kinoma
Asante mkuu ntakutafutaScholarship nyingi huwa ni bure, jitahidi sana kutafuta scholarship na vyuo ambavyo hulipii gharama yeyote wakati wa kufanya maombi.
Karibu sanaAsante mkuu ntakutafuta
Contact zetu zipo kwenye hiyo post boss. Tunapatikana whatsap, na WechatNi Pm namba yako tuongee
Enh gpa kuanzia ngapContact zetu zipo kwenye hiyo post boss. Tunapatikana whatsap, na Wechat
Mara nyingi huwa ni kuanzia upper secondEnh gpa kuanzia ngap
Wa lower second ndo wametengwaMara nyingi huwa ni kuanzia upper second
Wanaweza jaribu wakapata cha msingi waandike application documentsWa lower second ndo wametengwa
Watanzania wengi tu wanatufuata tunawasaidia kuapply.Tulichokosa Watanzania ni hizi kampuni za kusaidia watu kuapply scholarships. Kenya na Uganda zimejaa sana. Wanasaidia kuanzia mitihani ya kimataifa ya kiingereza, ujazaji wa application mpaka upatikanaji wa supporting documents kwa ajili ya kupata full funded scholarships. Pia mwishoni wanawapa na training kabisa ya kushinda interviews zao.
Zilizopo hapa ni zile kampuni za kina Global, uende kwa kujilipia ambayo yeyote anaweza kuomba na kupata, bado wanachaji fedha mingi sana milioni moja +!! Halafu hupati scholarship
GPA ndo kimbembe.Vijana tumeni maombi acheni uoga