Orodha ya biashara kwa mtaji kiduchu zenye uhakika wa kukulipa awamu hii ya tano

Hii ishu ya kodi naona imetajwa sana na kwa wajasiriamali baadhi saiv imetumika kama 'kisingizio' cha kushindwa kwao.

Nasema hivo sababu kodi ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo ata nchi ikitawaliwa na 'malaika'. Na kwa hoja hiyo mjasiriamali lazima ulipe kodi maana pia ili uweze kupata wazito/wawekezaji katika kupanua biashara yako ni lazima uwe una historia nzuri ya ulipaji kodi.

-pia nakubali kuna baadhi ya watendaji wa mamlaka ya TRA ambao hutumia madaraka yao vibaya kukandamiza wajasirimali

Na apa ndipo kwenye hoja ya msingi kuwa ukosefu wa elimu ya kodi kwa wajasiriamali inawafanya wawe 'vulnerable victims'

Hivyo ni lazima kwa kila mjasiriamali kuitafuta, kuisoma na kuijua elimu hiyo.

Pia ifahamike sheria zetu za kodi nyingi zina 'loopholes' nyingi ivo kuijua elimu ya kodi kutamsaidia mjasiriamali ata namna atakavyoweza 'ku-exempt' baadhi ya kodi 'kihalali'
Lakini kesi yao sio wafanyabiashara wadogo tu wasiojua kodi hata wakubwa wanasema TRA inawakadiria kodi kubwa sana tofauti na uhalisia wa biashara. Kodi lazima ilipwe ila ukikadiriwa kodi ambayo haifanani na unachokiuza lazima utafunga biashara. Labda ungewashauri hata hao wafanyabiashara wadogo wawe wanaajiri tax consultants maana wanaonelewa sana na ukitegemea hawana sheria hata moja ya kodi wanayoijua na wengi wao hawana docs zozote huwa wanakadiriwa tu ili walipe kodi na ndo hapo TRA wanapowamaliza.
 
Kwa mtindo wa sasa ambapo staff wa TRA wanaingia dukani au kwenye eneo lako la biashara na kupiga kambi kwa masaa ya kutosha, nadhani kuna haja ya kutunga mitaala mipya na kuzipitia upya hizo sijui "leap of faith hypothesis, degree of operating revenue" na madude yenu hayo.
Nampango wa kufungua car wash,cjui TRA wanatanibanaje asee,maana wanakaba hatari
 
Hahaha RRONDO najua tuliwah kuwa na encounters sehem kadhaa na hasa nakumbuka uzi wako wa 'kweli ukikua utaacha' .

Na ninafahamu ulitaka kulipiza lakini nikusifu kwa kuwa 'open minded' na pengine imekusaidia kuona 'positivity' kwenye content hii

Infact ninajua kuna 'empty set' nyingi zinakuja kwa kasi kusoma ili kupata kasoro lakini wanaishia kupita kimyakimya baada ya uzi kuwazidi akili.
Le mutuz akili kubwa atapitia sasa hivi(nimesema tuu)

Anyway kila kitu hapo ni fact!!
Nimewai jaribu hiyo ya chakula kipindi cha nane nane mkoa fulani nikiwa bado ni mwanafunzi wa chuo.Sio siri kwa mtaji mdogo sana ndani ya siku 10 tu nilipata millions.
 
Back
Top Bottom