Orodha ya baadhi ya makampuni na Ardhi iliyonyakuliwa na wawekezaji wa kigeni

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Orodha ya baadhi ya makampuni na Ardhi iliyonyakuliwa na wawekezaji wa kigeni kwa ajili ya uzalishajiwa mazao ya chakula Tanzania by 2011
· Orodha hii ni baadhi tu ya makampuniya kigeni yalioingia mikataba nchini.
· Ni orodha ya Makampuni yalioingiamikataba kuanzia mwaka 2006
· Ni mikataba iliyo hai, ambayo haijavunjwa ,
· Ni orodha ya makampuniyanayohodhi ardhi kubwa katika maeneo mbalimbali nchini kwa ajili ya mashamba makubwa ya kilimo chachakula peke yake, ikiwemo miwa na mawese, haijajumuisha mikataba ya mashamba ya jatropha, pamba na mazao mengine ya biashara

Landgrabbed
Landgrabber
Base
Sector

Hectares
Production
Projected investment
Status of deal
Summary
Tanzania
Bhati Bangla Agrotec
Bangladesh
Agribusiness

30,000
Maize, pulses, rice
US$5.49 million
In process
Bhati Bangla Agrotec is owned by the Al Falah Group in Bangladesh. The company says it intends to bring 4,000 Bangladeshi farmers to Tanzania to work on the 30,000-ha farm it intends to establish there.
Tanzania
FELISA
Belgium
Agribusiness

4,258
Oil palm
Done
FELISA, a Tanzanian-Belgian joint venture, has established an oil-palm plantation on 4,258 ha in the Kigoma Region of Tanzania. It is also pursuing another 5,000 ha of production through the development of an outgrower scheme with small-scale farmers.
Tanzania
Chongqing Seed Corp
China
Agribusiness

300
Rice seeds
Done
In 2008, China Daily reported that the Chongqing Seed Company had acquired 300 ha in Tanzania for the production of its imported rice-seed varieties as part of an agreement between China and Tanzania for the construction of an agricultural research centre.
Tanzania
DWS GALOF
Germany
Finance

5,000
Crops
Done
The DWS GALOF fund is offered by Deutsche Bank, but the day-to-day management of the fund is delegated to Duxton Asset Management, based in Singapore. It was launched in 2007, with a running time until 2016, and assets of €110 million. It is currently expanding its 5,000-ha commercial farm in Tanzania, called Mountainside, which produces wheat and barley, as well as 1,200 sheep. DWS claims that the farm yields returns of 30-35%.
Tanzania
Karuturi
India
Agribusiness

311,700
Crops
US$500 million
In process
Bangalore-based Karuturi Global Ltd, founded by Sai Ramakrishna Karuturi, is the world's largest producer of cut flowers. In 2008, Karuturi started to invest in farmland and agricultural production in Africa through it's Dubai holding company, Karuturi Overseas. It began by acquiring a long-term lease on 11,000 ha in the Oromia Region of Ethiopia and 100,000 ha in the Gambela Region, with an option for another 200,000 ha. It intends to produce palm oil and sugar, but primarily rice and wheat for export, and has already worked out a 40,000-tonne-per-year supply agreement with Djibouti, and is negotiating for similar deals with other African countries. Beyond Ethiopia, Karuturi has announced intentions to acquire farmlands in Tanzania and Sudan. In August 2011, Karuturi said it had applied for 1,000 ha in the Rufiji Basin in Tanzania and that it expects eventually to acquire 311,700 ha.
Tanzania
Nirmal Seeds
India
Agribusiness

30,000
Seeds
In process
In August 2011, Nirmal Seed, an Indian seed company, announced that it had requested up to 30,000 ha from the Tanzanian government to establish a seed-farm region that would supply the eastern and southern African seeds market. The company intends the project to be part of the Government's green-revolution-styled Kilimo Kwanza program. Nirmal already has a rice-seed production farm in Mozambique and a vegetable farm in Ethiopia.
Tanzania
Yes Bank
India
Finance

50,000
Rice, wheat
In process
In June 2009, Reuters reported that India's Yes Bank was teaming up with large Indian rice, wheat and edible-oil processing companies to produce crops in Africa. A company executive told Reuters that the bank was pursuing the acquisition of 30,000-50,000 ha for rice and wheat production in Tanzania, and the construction of a processing plant near the farm. He also said that Yes Bank was considering projects in Mozambique, Malawi, Madagascar, Angola and Namibia.
Tanzania
Export Trading Group
Singapore
Agribusiness

8,000
Rice
Done
ETG, owned by Kenya's Patel family, is incorporated in Singapore but its farming operations are run through its Mauritian subsidiary, ETG Holdings. The company is one of the largest farmland owners in Africa, with extensive holdings in Tanzania, Mozambique, Zambia and the DRC. It has recently received heavy financial backing from the World Bank's International Finance Corporation and the Standard Chartered Bank of the UK. Some of ETG's farms are structured through Bio-Energy Investments (BEI), a joint venture established in 2006 with South African corporate farm operator Verus Group, in which ETG has a 66% stake. BEI operates a 57,000-ha farm in Zambia that it is in the process of selling to Zambeef, and an 8,000-ha rice farm in Tanzania with 3,500 ha under production. BEI CEO Justin Vermaak says that the company aims to develop 10 more corporate farms in Africa over the next 7 years.
Tanzania
Intrasia Capital
Singapore
Finance

30,000
Rice
Done
Vita Grain is a Singaporean company owned by portfolio investor Intrasia Capital, which has been investing in hybrid rice development and production in Asia, Africa and Australia. The company's African investments in Mauritius, Mozambique and Tanzania are undertaken through a Mauritian holding company. In Tanzania, its subsidiary Tanza Grain Ltd has a 98-year lease on 30,000 ha in the Rufiji Basin. The company says that it has completed trial planting on 2 ha of farmland 15 km west of Bagamoyo bordering the Ruvu River.
Tanzania
Korea Rural Community Corporation
South Korea
Government

100,000
Rice
US$50 million
Done
In August 2010, the Korea Rural Community Corporation signed an MoU with the Rufiji Basin Development Authority to develop a 15,000-ha commercial rice farm in the Rufiji Basin. The US$50-million project was part of a larger bilateral assistance package, which included a US$121-million loan for infrastructure works.
Tanzania
SEKAB
Sweden
Agribusiness

22,000
Sugar cane
Done
In 2008, Swedish Alcohol Chemistry AB (SEKAB), a corporation owned by three municipalities in northern Sweden, began the implementation of a massive, 200,000-ha project in Tanzania to cultivate sugar cane for the production of ethanol for export to Sweden. SEKAB was also implementing a 15,000-ha sweet-sorghum project in the Cabo Delgado province of Mozambique. Opposition at home and abroad forced the company to back down from its projects, and in 2009 SEKAB sold all its African projects to its former CEO Per Carstedt for a token sum of €40. Carstedt has revived the Tanzania project and is setting up a sugar company, with an 8000-ha sugar-cane plantation and a refinery in Bagamoyo, Tanzania. His company, Bagamoyo EcoEnergy Ltd, is registered in Mauritius. Carstedt has said that he intends to expand eventually to the original 200,000 ha, and has applied for a credit guarantee from the Swedish International Development Agency.
Tanzania
Pharos Financial Group
UAE
Finance

50,000
Rice
In process
In October 2009, Dubai-based Pharos and London-based Miro Holdings International launched the US$350-million Pharos Miros Agricultural Fund to focus on rice farming in Africa and cereal cultivation in eastern Europe. The Fund has a minimum subscription of US$1million and is actively seeking joint ventures with Gulf family-owned conglomerates and sovereign wealth funds. In January 2010, Pharos said that the fund was in the process of securing a 98-year lease on 50,000 ha of land in Tanzania to grow rice in order to secure food supplies for the Gulf countries.
Tanzania
Agrica
UK
Finance

5,818
Rice
Done
Agrica was established by former Financial Times journalist Carter Coleman in 2005 to invest in agricultural projects in Eastern Africa. It has funding from Norfund, the Norwegian Development Bank, African Agricultural Capital and Capricorn Investment Group (a multi-billion-dollar fund based in the US). The fund's first farmland acquisition was of an irrigated farm in Rubada, Tanzania, where it began producing rice in 2008.
Tanzania
AgriSol
US
Agribusiness

325,000
Beef, biofuels, crops, poultry
Done
AgriSol, through a joint venture with Pharos Financial of Dubai and Summit Group of the US, is developing a massive agricultural project on lands identified by the Government of Tanzania in Katuma (80,000 ha) and Mishamo (220,000 ha) in Rukwa province and Lugufu in Kigoma province (25,000 ha). These lands are all former refugee settlements still occupied by refugee families who entered Tanzania decades ago. MoUs have been executed and leases are being negotiated for the Rukwa lands, while an MoU is being prepared for the lands in Kigoma. Two of the three sites (Katumba and Mishamo) are inhabited by Burudian refugees displaced by war in 1972.
Tanzania
Aslan Global Management
US
Finance

42,000
Crops
Done
Aslan was created by Jes Tarp and Paul Larsen of the US after their experience in setting up farms with other foreign investors in Ukraine. In 2008, they merged four of their Ukrainian farms into a single operation, called Alpha Farm, covering a total of 8,750 ha. In 2009 Tarp and Larsen formed Aslan Global Management to expand their farming operations into Africa. In Mozambique, they established a subsidiary, Rei do Agro Ltda, and acquired a lease on 10,000 ha of land, where they are cultivating 2,000 ha of soybeans and maize. In July 2011, The Guardian (Tanzania) reported that Aslan had acquired 42,000 ha for cash-crop production in Morogoro Region of Tanzania.
Tanzania
CAMS Group
US
Construction

20,000
Sweet sorghum
US$600 million
In process
In January 2012, the website of US-based CAMS Global stated that the company was negotiating for a long-term lease of 20,000 ha in Tanzania for the development of a pilot project to cultivate sweet sorghum for ethanol production in the districts of Handeni and Bagamoyo.
Tanzania
TM Plantations
US
Agribusiness

50,000
Oil palm
In process
TM Plantations is a subsidiary of TM Global Holdings, an investment fund set up by Tony Tan that is registered in Delaware, US and that focuses on investments in emerging markets. In July 2007, TM Plantations paid preliminary survey fees to the Kasulu District government of Tanzania to investigate the feasibility of establishing an oil-palm plantation on 50,000 ha, and the company is also pursuing land acquisitions for forestry. In 2007, Colonel Kabenga Nsa-Kaisi, former chief counsellor to Tanzanian President Benjamin Mkapa, was appointed to the board of TM Plantations.
 
In1884 it was just a chunk of land without a proper name. They partitioned it amongst themselves and gave it a name, Deutch oest Africa. In 2000 it is known as Tanzania. Without shame, we are so busy selling our fertile land to investors leaving our people in arid and infertile areas and without enough land for their use. What a shame!
 
Mimi ninafiki ilo bse serikali imeshindwa yaendeleza maeneo ambayo yako fertile na kuwaachia wananchi iyo kazi.
Na wananchi hawana mitaji mikubwa kwa ajili ya acommercial agriculture.
Apa wa kulaumu ni serikali haiwawezeshi watu wake ambao 80% wako ktk sector ya kilimo!
 
Siwezi kuamini Kwamba nchi imeuzwa kwa wahindi na waarabu kwa kiasi hiki,wanalima nini mbona sijaona kinacholimwa na bado Wassira kutoka mbuga ya Gombe anasema ataendelea kuwauuzia tena ardhi ,haiwezekani lazima hili likataliwe leo hii uuuaji uuaji hatuwezi kukubali sisi wajukuu wetu waje wageuka watwana kwenye nchi yao
 
Siwezi kuamini Kwamba nchi imeuzwa kwa wahindi na waarabu kwa kiasi hiki,wanalima nini mbona sijaona kinacholimwa na bado Wassira kutoka mbuga ya Gombe anasema ataendelea kuwauuzia tena ardhi ,haiwezekani lazima hili likataliwe leo hii uuuaji uuaji hatuwezi kukubali sisi wajukuu wetu waje wageuka watwana kwenye nchi yao

Anyway tunaomba wahusika watutajie kipato halisi kutoka katika uwekezaji huu na mchango wake katika hii bajeti, pia niwakati muafaka wa serikali na wahusika kutoa ripoti ya Kilimo kwanza kwani toka imeanza ni takribani miaka Minne sasa! tunaomba mchango wa haya makampuni katika pato la taifa!
 
Siwezi kuamini Kwamba nchi imeuzwa kwa wahindi na waarabu kwa kiasi hiki,wanalima nini mbona sijaona kinacholimwa na bado Wassira kutoka mbuga ya Gombe anasema ataendelea kuwauuzia tena ardhi ,haiwezekani lazima hili likataliwe leo hii uuuaji uuaji hatuwezi kukubali sisi wajukuu wetu waje wageuka watwana kwenye nchi yao


Tumeacha kulinda aridhi yetu,
Tumewapa mamlaka watu wanaopenda pesa zilizoko benki na za wageni kuliko ardhi aliyotujalia mwenyezi Mungu.
 
Anyway tunaomba wahusika watutajie kipato halisi kutoka katika uwekezaji huu na mchango wake katika hii bajeti, pia niwakati muafaka wa serikali na wahusika kutoa ripoti ya Kilimo kwanza kwani toka imeanza ni takribani miaka Minne sasa! tunaomba mchango wa haya makampuni katika pato la taifa!
serikali ya CCM ni mchwa hawa hawafaaaaaaaaaai hata Kidogo ni kwa vipi wanaona ni rahisi kuwa gawia ardhi watu wa mataifa mengine badala ya kuboresha ulimaji wa kawaida kwa wananchi wake,mwananchi akilima akijitafutia chakula chake na kuuza cha ziada anakuwa na utu kuliko kufanya kazi za umanamba halafu akashindwa hata kununua kibaba cha unga hii haiwezekani lazima tuikatae leo na sio kesho
 
Tumeacha kulinda aridhi yetu,
Tumewapa mamlaka watu wanaopenda pesa zilizoko benki na za wageni kuliko ardhi aliyotujalia mwenyezi Mungu.

Kama tuliwafukuza wazungu ambao walikuwa na mashamba makubwa ya kibiashara leo hii iweje tuwalete wahindi na waarabu kuwa gawia mpaka ekari zaidi ya laki tatu kwa mafungu mengi mengi tuuu hii nchi tunaipeleka wapi tusikubali hata kidogo wananchi wengi baada ya miaka mia moja watakuwa watumwa watumwa kwenye ardhi yao haiwezekani tukatae kama walivyokataa wazee wetu zamani
 
Kwakweli inasikitisha ardhi yetu inavyouzwa kwa wawekezaji hivi hawa viongozi wetu mbona wapo kujali maslahi yao na familia zao tu mimi na uhakika ipo siku kitanuka tutaanza kutafutana hapa
 
Kweli haya madudu kweli watu wakiambiwa ni wendawazimu pia waseme wametukanwa?! Yaani hawa wageni wamesema wazi kabisa na kuweka bayana kuwa si wanaomba kupora ardhi bali wanataka hatawalete wanavijiji 4000 toka makwao na serikali ikaridhia!

Dah! Ukistaajabu ya Musa……


Bhati Bangla Agrotec is owned by the Al Falah Group in Bangladesh. The company says it intends to bring 4,000 Bangladeshi farmers to Tanzania to work on the 30,000-ha farm it intends to establish there.
 
Tusipokuwa makini tutajikuta tuna migogoro ya ardhi kama Zimbabwe. Nimesikia wakubwa wa serikali wakisema tena bungeni kuwa wameagiza kila halmashauri kutenga eneo la ardhi kwa ajili ya uwekezaji. Inawezekana wana nia nzuri lakini jambo ambalo hawajakaa chini na kutafakari ni population growth ya Tanzania na upatikanaji wa ardhi.

Kwa sasa tuko kama watu 45 milloni, population growth rate ni around 3%. Sasa by 2025 tutakuwa watu 66 milion na by 2025 tutakuwa na watu 138 milion. Ardhi ni ile ile, haiongezeki. Na hatari ni kwamba wageni wanapewa ardhi kwa miaka 99! Tuna bomu kubwa mno linatuzunguka watanzania.
 
Mimi iliyonifurahisha ni hii:
TanzaniaBhati Bangla AgrotecBangladeshAgribusiness
30,000
Maize, pulses, riceUS$5.49 millionIn processBhati Bangla Agrotec is owned by the Al Falah Group in Bangladesh. The company says it intends to bring 4,000 Bangladeshi farmers to Tanzania to work on the 30,000-ha farm it intends to establish there.
Inataka kuleta wakulima wake 4,000, hakuna wanavijiji 4,000 TZ wa kuweza kufanya kazi hiyo? Sheria zetu za ajira zinasemaje? Na upuuzi zaidi, kiwango chao cha uwekezaji ni dola milioni $5.49, kiwango cha chini kabisa kuliko vyote vilivyoelezwa. Hawa viongozi wetu wanapotia saini mikataba huwa wamefungwa vitambaa vya macho na kukamatishwa kalamu huku wameelekezwa mtutu wa bunduki?

Hawa viongozi wetu (hapa nina haki ya kuwaita maadui zetu), wamegawa kama njugu hekta 1653, 776 za Watanzania. Tangu mwaka 2006 miradi hiyo ilipoanza, hasa ya kilimo cha mpunga, ngano na sukari, kwa nini bado TZ inaagiza bidhaa hizo toka kwa hao hao tuliowapa ardhi wazalishe hapa? Tanzania nobe tunaletewa hata kuku kutoka Brazil. NI AIBU, AIBU, AIBU!
 
Mi nikifikiria enzi hizo waTanzania kama akina Mwamindi walikuwa wanalima sana huko Iringa lakini dah leo hii ardhi imeishia mikononi mwa mabepari
 
mtajuta kuweka ****** madarakani.Baada ya miaka kama miwwili kuanzia 2015 akina wasira wanaouza ardhi watakuwa wamekufa na vita ya ardhi inaanza.
 
Viongozi wetu wanapanda mbegu itakayokuja kuleta vita katika nchi yetu ya Tanzania hapo baadae! ... hivi tumewakosea nini hawa CCM?! ... kwa nini wanafanya hivi lakini? ... hawajui kuwa hapa wanakaribisha vita tu baina ya Raia na hawa wezi?

... hivi Viongozi wetu ... TUMEWAKOSEA NINI ... mpaka mnatufanya MAJUHA namna hii?!


 
Back
Top Bottom