Original komedy kwishiney

Status
Not open for further replies.
All in all vijana wako vizuri hakuna kikundi kimewafikia ila walizidisha mbwembwe! Taarifa ni kuwa mkataba mpya wanaanza next month! Tbc cant loose them wameshapoteza vipindi vingi now na kupoteza mvuto! Kuna vipindi vingi vinategemea kuanza next m6nth like cha B kinyaia na maimartha
g
 


Jamaa walijisahau...ila kipaji ambacho akiendelezwi na shule hufa kibudu
 
idd amin akifa mimi siwezi kulia,nitamtupa kagera awe chakula cha mamba.
 
mi nafikiri ni kuwapa moyo kufanya vitu vipya zaidi na si kuwaponda kwani wamesha thibitisha uwezo fulani katika fani yao.cha msingi ni kukaza buti na kufanya mmbo mazuri wasiridhike na mafanikio ya muda mfupi waliyopata,kuigiza filamu si jambo baya ikiwa watamudu huko katika filamu na kuweza kufanya mambo makubwa zaidi.
 

Mkuu Wa kwilondo unafikiri wanaweza kufikia ule umaarufu walioanza nao??unakumbuka enzi zetu wakati wa muziki wa Dance band zetu zilivyokuwa maarufu kwa miaka mingi bila kuchuja??hawa jamaa zetu hawawezi bana,shida kubwa ni elimu hawana,halafu uwezo mdogo wa kufikiri vilevile
 
yes, Creativity finyu, kufanya watu wacheke mwaka mzima si shughuli ndogo -- pia waangalie mno kujihusisha na kampeni za CCM zitawamaliza.
 
Ule usemi wao wa UMEFULIA umewarudia wao hahahaha, walijua kua wamemaliza bana hawakujua hii ni bongo hata wale waliokuwa wakiwacheka kua wamefulia hawakupenda, imekula kwao mbayaaa, WAMEFULIAAAAA!!!!!!!!
 
Walikubali kununulika kwa bei poa ingawa wao walidhani wamepiga bao. Siasa ukishazichanganya kwenye kibarua chako ujue umeshawabagua wateja ktk misingi ya itikadi. Sio siri, waliondolewa na Manji + Rostam kule ITV ili kuikomoa ITV na pia ili watumike kirahisi kwenye mambo ya ccm kama inavyotumika kirahisi tbc yenyewe. Waende tu, na wapotee wakawe maMC kwenye harusi.
 
Nilikuwa natafuta comment kama hii....thanks arifu.....
 
kazi yao kuwazalilisha wanaume kuvaa kama mademu bora mara 100 wale bongo dar es salaam walikuwa wanaelimisha jamii
 
Ukikubali kutumiwa na mafisadi kubali kuwa kama dawa ya penzi aka Condom, hufai kutupwa hata kwenye dustbin wewe ni chooni tena ukiwa umenyongwa shingo nywiiiiiiii, maana ukiachwa wazi utamwaga uchafu!
Na ndo matokeo yake hayo.
 
Ni vibaya kuwaombea vijana wenzako mabaya!

Ulishawahi kuwaambia hiyo kauli walipokuwa wakiwacheka waliofulia? adhabu ya dhambi ni hapa hapa duniani. Wameshageuka kuwa condomu iliyotumika, mtumiaji huwa hana hata hamu ya kuiangalia akishaitumia
 
Huwezi kuwafananisha na lile kundi la bongo dar es salaam kile kipindi cha utapel kilikuwa kinatoa elimu
 
kweli walijisahau sana na kutukana watu kila sehemu sasa leo yamewakuta
 
Hawa jamaa mbona walikuwa ni wazuri katika comed,sema makosa ni hayo ya kumkashifu Mengi,Lakini mtumishi Masanja naamini hatapotea kutokana na karama yake
 
Walikuwa wakiwaigiza wenzao kwamba wamefulia sasa zamu yao kufulia, najua kila aliyeigizwa kufulia atafurahi jamaa hao kufulia, walijiona wamemaliza kila kitu.
 
Ku....nina zao,waliwah kudhihaki EATV kwakua walikua wanarusha kpnd hata siku za bunge wakat TBC hawakufanya hvyo badala yake hurusha kpnd siku tofaut na bunge.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…