VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,006
Na Masanja ni mtangazaji wa Times FM..Ndiyo maana wengi wanajihusisha na masuala ya muziki like Joti(mchakamchaka) na Mpoki(shangazi)...na tayari single zao ziko sokoni...ukute walishajua kwamba kikinuka huku wataibukia kule...si tayari washakuwa maarufu.
ameacha kusomea uchungajiNa Masanja ni mtangazaji wa Times FM..
hawa jamaa acha tu.walishawai kuniaibisha mbele ya mama mkwe hivihivi kwa kumpaka mama mkwe live,"tunakushukuru wewe m'mkwe kwani tokea umetoka kijijini kuja kwenye harusi ya mwanao hutaki kurudi kwako umeng'ang'ania tu kwenye sofa"kiukweli nilijisikia vibaya kama mimi ndo nimewatuma siku ya pili mama aliaga.!!
Ni vibaya kuwaombea vijana wenzako mabaya!
Mzee mengi atawasamehe tu wakitubu maana hawajua watendalo!Mabosi wa TBC wamekuwa wakipigana vikumbo kukwepa ku renew contract ya hawa vijana machachari wanaokosa umaarufu kila kukicha,taarifa zinasema wao wenyewe wameanza kushtukia hiyo baada ya kipigwa kalenda kila siku huku ma technicians wa TBC wakirudia rudia show zao zilizopita miaka mingi,,kwa nini TBC wasiwe wazi na kukataa ku sign au ku sign ili hawa wandugu wajue moja??Tbc wakikataa ku sign hawa jamaa itakuwa ndio mwisho wao au wataenda ITV?watathubu kwenda ITV na walishamtukana mzee Mengi live kila mtu aliona??waswahili wanasema usinyee kambi,,kazi ipo!
hawa jamaa acha tu.walishawai kuniaibisha mbele ya mama mkwe hivihivi kwa kumpaka mama mkwe live,"tunakushukuru wewe m'mkwe kwani tokea umetoka kijijini kuja kwenye harusi ya mwanao hutaki kurudi kwako umeng'ang'ania tu kwenye sofa"kiukweli nilijisikia vibaya kama mimi ndo nimewatuma siku ya pili mama aliaga.!!
Hawa vijana walikosea sana kumtukana mzee Mengi, watubu na waombe msamaha.
Waberoya......Umemaliza aiseewho is Mengi bana?? nchi hii mtamfanya kila mtu mtume sasa
wale wana maisha yao, hata wasipoonekana kwenye TV,
nani asiyeogopa maisha?? nani ana hakika ya siku zijazo?
Nishindwe kusema ukweli leo ili nikiharibikiwa nirudi kwa aliyenikosea??
chai hizi mnajianika na pumba zenu, ndiyo akina Lamwai, kabourou, n.k wanafanya kama nyie mnavyosema yet mnawaita wasaliti!
who is Mengi bana?? nchi hii mtamfanya kila mtu mtume sasa

hahaha aisee mi wameshaniabisha zaidi ya mara tatu kwa kukaa kwa ndugu mpaka naogopa kipindi chao,sheee.nz taip
Kwa jinsi ninavyoona mimi nahisi(kama ni kweli TBC wamekatisha nao mkataba) nahisi Management ya sasa ya TBC itakuwa ina matatizo ama wanataka waondokane na mikataba yote ambayo iliingiwa wakati wa TIDO/kuondoa program zilizoanzishwa enzi za TIDO.....
Vipindi vingi vya burudani vilivyoanzishwa enzi za TIDO havipo sasa.....Mfano Bongo Dar es Salaam, Burudani ni Nyumbani, Orijino Komedi Show, Boda 2 Boda na hata matangazo ya Live ya michezo ya Ligi Kuu ya Uingereza......Kwa ujumla TBC kwa sasa inarudi nyuma kwa kasi badala ya kuendelea mbele...
Kiukweli hauwezi ukawalinganisha Ze Comedy wa EATV na Orijino Komedi.....Wale wa EATV ni bure kabisa,hawana jipya zadi ya kuwaiga Orijino Komedi.....Hata Futuhi ina uafadhali.....
Kwangu mimi VITUKO SHOW ya Channel Ten ndio Mwanzo mwisho......King Majuto, Onyango, Mwita Maranya, Sharo Milionea, Masele Chapombe, Mzee Pembe, Mzee Toffi, Asha Boko, Shangazi/Madoido, Senga, Chilli, Mkono,Kingwendu, Erick na wengine.....Hawa jamaa wako juu kuliko maelezo