Organization Chart

Aiseee,
Kwa hiyo sasa nchi inatawaliwa na magenge ya wahalifu?
Yes kabisa
Kwa kawaida mifumo wa utawala wa nchi nyingi duniani Kuna kitu kinaitwa Mihimili au Muhimili wa dola.
Na mara nyingi umegawanyika katika sehemu tatu.

1) Serikali
2) BUNGE
3) MAHAKAMA

Lakini hapo juu hakuna Muhimili Bali Kuna Organization Chart.
Org Chart bupatikana kwenye makampuni TU.
Na hivyo basi Tanzania ni kampuni ya Watu wachache waliojimilikisha ili kuchuma utajiri na mema ya nchi peke Yao.
Ambao ndio hivyo ilivyo hapo juu.😄😄😄
 
Kwenye nchi ambazo kuna utawala Bora, hiyo mihimili kila mmoja unakuwa huru ili kuzuia mihimili mingine kuvuka mipaka.

Ila kwa Tanzania kuna mhimili mmoja imejiinua kinyume na matakwa ya Katiba, unamiliki na kusigina mihimili mingine.

Tunatokaje kwenye huo mkwamo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…