Oral PPF ni lini?

Oral PPF ni lini?

Tajiri Boss

Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
21
Reaction score
7
Kwa waliokuwa kwenye interview ya pili pale chuo cha elimu ya watu wazima. 27/06/2015. Wale wasimamizi hawakuongelea itachukua muda gani kuanza kuita watu kwa oral interview.
 
Kwa waliokuwa kwenye interview ya pili pale chuo cha elimu ya watu wazima. 27/06/2015. Wale wasimamizi hawakuongelea itachukua muda gani kuanza kuita watu kwa oral interview.

After two weeks nakuendelea kiongozi
 
mkuu una uhakika nini manake mimi kwa kigongo kile,sina hata matumaini ya kuitwa aisee,ila nitashukuru nikiitwa
 
Kulikuwa na maswali ya multiple choice pale mkuu, huwezi jua. Labda ninaweza kubebwa na hayo maswali. Japo kuwa ki ukweli ile paper ilikuwa kigongo, sijawahi kukutana na paper kama ile.
 
Kiukweli paper ilikuwa ngumu sana, lakini huwezi kujua , unaweza mtu ukabebwa kwa kubahatisha kwa yale maswali ya multiple choice.
 
Kumbe kuna wadau bado wanamatumaini ya oral kwa ile pepa.
 
Wahuni wale ppf...kazi zinawenyewe zile...ndio mana waliwapa majibu watu wao wanao fanya intership kwao.
 
Kwa waliokuwa kwenye interview ya pili pale chuo cha elimu ya watu wazima. 27/06/2015. Wale wasimamizi hawakuongelea itachukua muda gani kuanza kuita watu kwa oral interview.
subiri kuna paper lingine kwahiyo oral bado sana ila.paper lingine linakaribia wiki.ijao tunawaita tena
 
We chief jj acha zako, mifuko ya jamii huwa wana written mbili na oral moja. Baada ya uchakachuaji wao wataita watu wao kwa oral. Na baada ya hapo ni kazini kaka.
 
PPF IMEAJIRI WATOTO WA VIGOGO
MBONA WA BOT WALISHTAKIWA?
Miaka michache iliyopita BOT
ilichunguzwa jinsi ilivyojaza watoto
wa vigogo.
PPF kama shirika la umma, ajira
inatakiwa iwe kwa watanzania
wenye sifa na waajiliwe kwa
utaratibu wa wazi. Lakini sio hivyo
kwa PPF wengi wameajiliwa kwa
maagizo ya wakubwa au
kujipendekeza.
Mifano michache:
1. DG ERIO: Mjomba wa Rais
Mstaafu, Benjamini Mkapa.
Aliajiliwa kwa shinikizo kama
mwanasheria. Mwezi mmoja kabla
Mkapa hajaachia uraisi akamtoa
aliyekuwa DG na kumweka mpwawe
ERIO.
2. Modigard Lumbanga: Mtoto wa
aliyekuwa Katibu mkuu Kiongozi,
Martin Lumbanga. Aliajiriwa kwa
shinikizo wakati baba yake akiwa
katibu mkuu kiongozi.
3. Musiba: Mtoto wa Marehemu
Elvis Musiba. Aliajiliwa wakati baba
yake akiwa Makamu wa mwenyekiti
wa Bodi. Huyu alikuwa ulaya, PPF
walighalimia gharama za
kumsafirisha kuja kufanya
interview. Hakuna mfanyakazi
yeyote aliyefanyiwa hivyo hata
kama anatokea Kibaha.
4. Dozite Musofe: Shemeji wa Mr.
Ngumbulu. Alimleta PPF wakati
Ngumbulu ni mwenyekiti wa Bodi
ya PPF pia Katibu mkuu Hazina
5. Hawa Mwema: Huyu ni mtoto wa
IGP Mwema. Hivi sasa mikakati
inasukwa apewe Umeneja wa
utawala baada kumtoa aliyekuwepo
kwa mizengwe.
6. Idara ya uwekezaji DG ERIO
kamweka ndugu yake mtoto wa
Mzee Magani, ambaye ni ndugu
Rais mstaafu Mkapa. Huku ndiko
anakotumia erio kuiba pesa ya
wanachama.
Wengine wamejaa watoto wa majaji
(eg Assumpta Maina na Nicander
Kileo) angalia surnames zao
Wengine ni watoto wa Bodi
Members eg wa Monica Mbega.
Aliajiliwa akiwa bidi member.
Naomba wenzangu mnaochukia
ufisadi mniongezee orodha.
Kama BOT serikari ilichunguza EPA,
Majengo pacha na ajira za watoto
wa vigogo basi na hapa PPF
ichunguze GROUP ENDOWMENT
(EPA ya PPF), Tenda za Majengo ya
DODOMA, viwanja waligawana
mkurugenzi wa fedha na mkaguzi
wa ndani na ajira za watoto wa
vigogo.
NISAIDIENI MWENZENU NAUMIA
MADARAKA YANAPOTUMIKA OVYO.
 
Hahaaaaa

Saizi watakuja na maswali ya chemistry na physics

saiz tunaleta maswali ya addition mathematics na physics tu ili mkose cha kusingizia...hiv kwanini mnang'ang'ania tu PPF ?
 
We chief jj acha zako, mifuko ya jamii huwa wana written mbili na oral moja. Baada ya uchakachuaji wao wataita watu wao kwa oral. Na baada ya hapo ni kazini kaka.

huu ni utaratibu wetu tumejiwekea kwahiyo subiri paper tena la addition maths na physics
 
PPF IMEAJIRI WATOTO WA VIGOGO
MBONA WA BOT WALISHTAKIWA?
Miaka michache iliyopita BOT
ilichunguzwa jinsi ilivyojaza watoto
wa vigogo.
PPF kama shirika la umma, ajira
inatakiwa iwe kwa watanzania
wenye sifa na waajiliwe kwa
utaratibu wa wazi. Lakini sio hivyo
kwa PPF wengi wameajiliwa kwa
maagizo ya wakubwa au
kujipendekeza.
Mifano michache:
1. DG ERIO: Mjomba wa Rais
Mstaafu, Benjamini Mkapa.
Aliajiliwa kwa shinikizo kama
mwanasheria. Mwezi mmoja kabla
Mkapa hajaachia uraisi akamtoa
aliyekuwa DG na kumweka mpwawe
ERIO.
2. Modigard Lumbanga: Mtoto wa
aliyekuwa Katibu mkuu Kiongozi,
Martin Lumbanga. Aliajiriwa kwa
shinikizo wakati baba yake akiwa
katibu mkuu kiongozi.
3. Musiba: Mtoto wa Marehemu
Elvis Musiba. Aliajiliwa wakati baba
yake akiwa Makamu wa mwenyekiti
wa Bodi. Huyu alikuwa ulaya, PPF
walighalimia gharama za
kumsafirisha kuja kufanya
interview. Hakuna mfanyakazi
yeyote aliyefanyiwa hivyo hata
kama anatokea Kibaha.
4. Dozite Musofe: Shemeji wa Mr.
Ngumbulu. Alimleta PPF wakati
Ngumbulu ni mwenyekiti wa Bodi
ya PPF pia Katibu mkuu Hazina
5. Hawa Mwema: Huyu ni mtoto wa
IGP Mwema. Hivi sasa mikakati
inasukwa apewe Umeneja wa
utawala baada kumtoa aliyekuwepo
kwa mizengwe.
6. Idara ya uwekezaji DG ERIO
kamweka ndugu yake mtoto wa
Mzee Magani, ambaye ni ndugu
Rais mstaafu Mkapa. Huku ndiko
anakotumia erio kuiba pesa ya
wanachama.
Wengine wamejaa watoto wa majaji
(eg Assumpta Maina na Nicander
Kileo) angalia surnames zao
Wengine ni watoto wa Bodi
Members eg wa Monica Mbega.
Aliajiliwa akiwa bidi member.
Naomba wenzangu mnaochukia
ufisadi mniongezee orodha.
Kama BOT serikari ilichunguza EPA,
Majengo pacha na ajira za watoto
wa vigogo basi na hapa PPF
ichunguze GROUP ENDOWMENT
(EPA ya PPF), Tenda za Majengo ya
DODOMA, viwanja waligawana
mkurugenzi wa fedha na mkaguzi
wa ndani na ajira za watoto wa
vigogo.
NISAIDIENI MWENZENU NAUMIA
MADARAKA YANAPOTUMIKA OVYO.
ni kweli? funguliaa thread hiii comment.. usikikeee.
 
Back
Top Bottom