hiyo list sijaiona ila ninavyojua tanesco ni wapuuzi zaidi ya uhamiaji,tanesco ni hatari,tanesco is leading entity in employments based in nepotism,second one is tanroads,thanks for tume ya ajira (PSRS) FOR advertised recent tanroads posts,tunaomba na posts za tanesco zitangazwe na tume ya ajira. others are , ppf, pspf, sumatra,nssf etcWanajamvi tayari tanesco wameishawaita wahandisi na techinicians kwa ajili ya oral interview. Kwa mtazamo wangcou hapa kuna uhamiaji nyingine hapa. Kama kuna mtu ana majina ya walioitwa ayaweke hapa plz.