ORAL INTERVIEW MARA MBILI

ORAL INTERVIEW MARA MBILI

logan007

Senior Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
197
Reaction score
200
Habari.
Kuna taasisi ilitoa nafasi za kazi toka mwaka jana ila wasailiwa wameitwa juzi kwa ajili ya usaili.
Baada ya kufika sehemu husika walitakiwa kuingia group la watu 15 na kuanza kuulizwa maswali kwa wote waliobahatka kujibu waliandikwa majina na namba za simu, je hii ni aina gani ya oral interview?
 
Interview za hivyo zinafanywa sana na FINCA, BRAC, ASA na Cool Blue.

Hizi interview ukitoboa mshahara wako ukizidi sana ni 400,000/= ila nyingi mshahara unaishia 100,000/=
Mshahara sh ngapi hapo? Laki Duh
 
Interview za hivyo zinafanywa sana na FINCA, BRAC, ASA na Cool Blue.

Hizi interview ukitoboa mshahara wako ukizidi sana ni 400,000/= ila nyingi mshahara unaishia 100,000/=
Duh na bachelor yangu wanilipe laki kweli hawaendi mbinguni
 
Interview za hivyo zinafanywa sana na FINCA, BRAC, ASA na Cool Blue.

Hizi interview ukitoboa mshahara wako ukizidi sana ni 400,000/= ila nyingi mshahara unaishia 100,000/=
Ongeza na hawa wanajiita Camco Equipments, ni wachina wako pale urafiki.
 
Habari.
Kuna taasisi ilitoa nafasi za kazi toka mwaka jana ila wasailiwa wameitwa juzi kwa ajili ya usaili.
Baada ya kufika sehemu husika walitakiwa kuingia group la watu 15 na kuanza kuulizwa maswali kwa wote waliobahatka kujibu waliandikwa majina na namba za simu, je hii ni aina gani ya oral interview?
Pambania tu mkuu, kuitwa Interview mara mbili ina maana ile ya kwanza Either hukufanya vizuri, au wameona potential ya wewe kufanya kazi nyingine tofauti na uliyoomba mwanzo.. Kuhusu maswali ya jumla ni kujaribu kupunguza mrundikano kwenye interview yenyewe kwahiyo wanafanya ku shortlist watu wanaoonekana wana uelewa zaidi wa kile mlichoitiwa
 
Back
Top Bottom