Hivi hawa jamaa wa Udom wanaita kwenye usail mbona sijasikia kuitwa kwa kazi, mimi nimefanya usail mwaka jana tar 06/ Dec hadi leo hakuna aliyeitwa sijui kuna nini aisee?Habari yako mwana JF,
Chuo kikuu cha Dodoma wameanza kuita watu kwenye oral interview kwa kuwapigia simu watu walio kuwa shortlisted. Yaani waliofanya vizuri kwenye Written Interview.
Interview hiyo kufanyika Mapema mwezi wa Tatu.
Kwa yeyote aliyepigiwa simu ama kupata Taarifa Hizo za ni siku gani/tarehe na watu wa position gani atujulishe.
Mda mwema.
Habari yako mwana JF,
Chuo kikuu cha Dodoma wameanza kuita watu kwenye oral interview kwa kuwapigia simu watu walio kuwa shortlisted. Yaani waliofanya vizuri kwenye Written Interview.
Interview hiyo kufanyika Mapema mwezi wa Tatu.
Kwa yeyote aliyepigiwa simu ama kupata Taarifa Hizo za ni siku gani/tarehe na watu wa position gani atujulishe.
Mda mwema.
Mi wamenipigia sasa hivi ni upande wa assistant accountant interview itafanyika tarehe 8/3/2013 saa mbili na nusu asubuhi,kama kawaida vyeti vyote original vinahitajika.
Hivi hawa jamaa wa Udom wanaita kwenye usail mbona sijasikia kuitwa kwa kazi, mimi nimefanya usail mwaka jana tar 06/ Dec hadi leo hakuna aliyeitwa sijui kuna nini aisee?
Mdau nasikia pia kwenye website yao wametoa lakini website yao haifunguki tangu juzi twaomba kwa aliyefanikiwa basi atuletee tangazo hilo na huku. Mimi niliomba nafasi ya Warden
Mkuu mimi niliaply academic zile nafasi za mwezi wa nane mwaka jana, usaili tukaitwa mwezi Desemba tar 6 nilipigiwa simu usaili ulifanyika college ya education hadi leo hii hakuna kati ya wote tulio itwa kwenye usaili aliyeitwa kazini na college nyingine ni hivyo hivyo sijui ni nini lakini. Au unataarifa zozote kwa hili mkuu naona wanaita ita ita kwenye usaili au hizi nafasi wanazoita saizi zilitangazwa lini?Mkuu Uliapply kada gani? Walioitwa kwa sasa ni wafanyakazi waendeshaji kama Accountants, Maafisa awala n.k
kama hujapigiwa simu. Sasa wewe unataka nini? Si ndo imetoka hivohabari yako mwana jf, chuo kikuu cha dodoma wameanza kuita watu kwenye oral interview kwa kuwapigia simu watu walio kuwa shortlisted. Yaani waliofanya vizuri kwenye written interview.interview hiyo kufanyika mapema mwezi wa tatu.kwa yeyote aliyepigiwa simu ama kupata taarifa hizo za ni siku gani/tarehe na watu wa position gani atujulishe.mda mwema.
Mkuu mimi niliaply academic zile nafasi za mwezi wa nane mwaka jana, usaili tukaitwa mwezi Desemba tar 6 nilipigiwa simu usaili ulifanyika college ya education hadi leo hii hakuna kati ya wote tulio itwa kwenye usaili aliyeitwa kazini na college nyingine ni hivyo hivyo sijui ni nini lakini. Au unataarifa zozote kwa hili mkuu naona wanaita ita ita kwenye usaili au hizi nafasi wanazoita saizi zilitangazwa lini?
Kuna kila dalili za ukabila na udini kwahivyo sifa za vyeti sihoja . Tafakari chukua hatua
Mkuu nachoweza kukushauri ni wewe kuendelea kuvuta subira... saivi wanaoitwa ni wafanyakazi waendeshaji nadhani michakato ya wanataaluma itaendelea hizi interview za waendeshaji zikiisha hata hivyo km wote bado hamjaitwa hakuna lililoharibika. Ntaulizia nikipata taarifa za kutosheleza ntazileta hapa.Mkuu mimi niliaply academic zile nafasi za mwezi wa nane mwaka jana, usaili tukaitwa mwezi Desemba tar 6 nilipigiwa simu usaili ulifanyika college ya education hadi leo hii hakuna kati ya wote tulio itwa kwenye usaili aliyeitwa kazini na college nyingine ni hivyo hivyo sijui ni nini lakini. Au unataarifa zozote kwa hili mkuu naona wanaita ita ita kwenye usaili au hizi nafasi wanazoita saizi zilitangazwa lini?
Asante mkuu Marumia!Mkuu nachoweza kukushauri ni wewe kuendelea kuvuta subira... saivi wanaoitwa ni wafanyakazi waendeshaji nadhani michakato ya wanataaluma itaendelea hizi interview za waendeshaji zikiisha hata hivyo km wote bado hamjaitwa hakuna lililoharibika. Ntaulizia nikipata taarifa za kutosheleza ntazileta hapa.