TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,762
- 21,227
Juzi hapa niliandika kuhusu issue kama hii.Mara nyingine nikiwaambia watu inakua ni ubishani tu usiokua na maana
2020 kuitoa CCM madarakani ni kwamba haiwezekani ng'o. Mbowe analijua hili, Zitto analijua hili hata Membe analijua hili
2025 labda tutaona upinzani sasa. sawa sawa na tuliouona 2015 kabla haujanajisiwa na ujio wa EL
2020 Zanzibar I reserve my comments sijui nini kitatokea.
Unless hawa viongozi wa upinzani wana malengo mengine fulani waliyojiwekea(Kama viti vya ubunge/udiwani na Ruzuku) sioni kama watatoboa kwenye Urais
Ila pia kuna msemo una tafsiri isiyo sahihi kwamba "Hata kuku akiona Simba anataka kudhuru vifaranga wake atapambana nae,japokua hawezi kumshinda ila pia kusalimu amri kirahisi ni ujinga"
Nadhani wanapambana kwakua ni lazima wapambane sio ili kushinda
Kama wanataka kuiondoa ccm lazima mbinu zianzie kwa mwenyekiti wa tume ambaye ni ccm damu, then kwa hawa wakurugenzi ambao wengi ni ndg, jamaa na marafiki.
Hao wakikubali kutokqna na matokeo kuonyesha upinzani kweli kashinda basi ccm bye bye, otherwise ni hadithi hizi tunazopeana hapa.