Aisee huu ni upuuzi ulooje, I cant imagine that road to be rename, if at all its true! Pile hivi wao wakitembelea huko kwao wanapewa na miji kabisa....yaani huu ulimbukeni utaisha linie:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
Barabara inayotumiwa kuingilia ikulu ya nchi imebadilishwa jina na kuitwa Obama Road. Subiri mkulu akirudi marekani ataibadilisha ile ya kwake Pennsylvania Avenue kuwa Kikwete Avenue kwa shukrani zake tu.

hapa ndipo wazungu walikuwaga wanadhani watu weusi sio binadamu halisi japo baada ya baadhi ya weusi wengine kuanza kujitambua, siku hizi wana narrow assumption ya awali na kusema"Watanzania watakuwa binadamu tofauti na wengine"!
Unaweza pia kubisha lakini hebu angalia hilo bango la huyo mheshimiwa!
Aisee huu ni upuuzi ulooje, I cant imagine that road to be rename, if at all its true! Pile hivi wao wakitembelea huko kwao wanapewa na miji kabisa....yaani huu ulimbukeni utaisha linie:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
Mi nnachojua..kama wameku-feel sana watakupa tu "keys to the city" heshima katika mji fulani au kupiga kengele kufungua soko lao la hisa pale New York Stock Exchange na sii kupachika barabara fulani jina tena la kiongozi wa Kiafrika.Kwa kweli ni kujipendekeza tu kwa sababu eti leo Madison Squire Garden paitwa Jakaya Mrisho Kikwete..I cant imagine that!