Huu uzi wa tech,science and gadgets forum
Kibaya chako,kizuri cha kwangu,siku nyingine ushindanishe na tecno au itel,tunaotumia samsung tutakuburuza mahakamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina tatizo mkuu, ila uzi upo hapa kimakosa.Mkuu mm nauza hizi simu na pia natoa ushauri kujua simu original refurbished na dimu gan unawepa mtu akapata kwa budget aliyonayo na asijutie chaguo lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Transsion Holdings (Chinese: 传音控股) is a manufacturer of mobile phones based in Shenzhen, China. It was the largest smartphone manufacturer by sales in Africa in 2017, and also sells mobile phones in South Asia. Its brands include phone brands Tecno, Itel, Infinix, and Spice, after-sales service brand Carlcare, and accessories brand Oraimo. It manufactures phones in China, Ethiopia and India.Tecno itel infinix ni kampuni moja ila sales brand ndo wanatofautisha na simu zao nyingine zinafanana kila kitu mfano TECNO SPARK 2 na INFINIX HOT 6 simu ni moja technical speaking lakin majina ndo tofaut.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uni PM namba zako za simuTecno itel infinix ni kampuni moja ila sales brand ndo wanatofautisha na simu zao nyingine zinafanana kila kitu mfano TECNO SPARK 2 na INFINIX HOT 6 simu ni moja technical speaking lakin majina ndo tofaut.
Sent using Jamii Forums mobile app
Really? Targeted market so ni kwa wajinga,eti ehHizo simu wamezijaza megapixel ili kuwakamata maboya ambao hawajui uhusiano wa megapixel na ubora wa picha
Mwanamke ndio anapima ubora wa simu kwa Camera nzuri, ila sijui kwanini!!
Hizo simu wamezijaza megapixel ili kuwakamata maboya ambao hawajui uhusiano wa megapixel na ubora wa picha
Mkuu Sio mwanamke tu kamera nzur inasaidia hata pale unapofanya biashara na mtu na kumwonyesha bidhaa, au unataka kuscan document utume mambo ya ofisini lazma uwe na simu yenye kamera nzuri. Simu zenye kamera nzuri mtu huitaj kwenya stationary kuscan document unafanya kila ktu kwenye simu yako. Tatizo linakuja kwamba weng wetu hatujui jinsi ya kutumia simu zetu vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Really? Targeted market so ni kwa wajinga,eti eh
Sent using Brain
Uko sahihi kabisa kuna watu wamekariri kwamba samsung na iphones ndo simu zenye ubora pekee kwa sababu ya mibei
Hiyo ni oppo model gani na unauza bei gani?Mkuu mm nauza hizi simu na pia natoa ushauri kujua simu original refurbished na dimu gan unawepa mtu akapata kwa budget aliyonayo na asijutie chaguo lake
Sent using Jamii Forums mobile app