daima huwa nalilia UI za androidi kukaa kipopoma.
samsung amejitahidi kufanya yake iwe tofauti na wengine,ila hawa oppo wamefanya kitu cha maana sana,inavutia mno.
naweza weka hivi.
1-oppo
2-samsung
3-huawei.
hawa android wengine hawako serious na kazi zao.