Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Punguza makasiriko😊wenyewe wanaita chinese apple👏Wakuu huwa siielewi oppo mara nyingi huwa naona ana mcopy sana iphone. Tofauti ni operating systems tu. Ila vingi oppo anacopy kutoka iphone. Ukicheki muundo hadi displays ndani iphone iphone.
Punguza makasiriko[emoji4]wenyewe wanaita chinese apple[emoji122]
Punguza makasiriko[emoji4]wenyewe wanaita chinese apple[emoji122]
Ni vitu gani ambavyo vinafanya oppo kuwa bora kuliko apple?Oppo ni simu bora kuzidi hata hio iPhone katika segment. Ku Copy kila mtu ana Copy hapo china sababu kuna simu nyingi ila form factor inafanana kinachotofautisha ni hardware za ndani tu ila muonekano ni ule ule.
Hardware tu operating system optimization ya hardwaresNi vitu gani ambavyo vinafanya oppo kuwa bora kuliko apple?
Kwa mfano kuna oppo gani yenye SoC kama Bionic A14?Hardware tu operating system optimization ya hardwares
Ungejiuliza Bionic A14 inaizidi snapdragon gani ambayo haipo kwenye flagship ya oppo. Tuanzie hapo.Kwa mfano kuna oppo gani yenye SoC kama Bionic A14?
Ndo maana nimekuuliza sijui kuhusu snapdragon inabidi unieelweshe kuhusu oppo yenye SoC kama Bionic A14.Ungejiuliza Bionic A14 inaizidi snapdragon gani ambayo haipo kwenye flagship ya oppo. Tuanzie hapo.
Bionic A14 ni latest SoC ya simu ambayo imetoka juzi tu iPhone 12.Ndo maana nimekuuliza sijui kuhusu snapdragon inabidi unieelweshe kuhusu oppo yenye SoC kama Bionic A14.
Kwa hisani ya Oppo A3s nathubutu kusema Oppo wameoptimize vizur sana android katika simu zao.Hardware tu operating system optimization ya hardwares
Hio simu iko bomba sana, tecno itasubiri sana!Kwa hisani ya Oppo A3s nathubutu kusema Oppo wameoptimize vizur sana android katika simu zao.
ColorOS ni safi sana.
Cc. Hios tecno
Oppo ni simu pambe sana, hapo Tecno watasubiri sana yani. Oppo iko smooth kama nyoya la njiwa,😎Kwa hisani ya Oppo A3s nathubutu kusema Oppo wameoptimize vizur sana android katika simu zao.
ColorOS ni safi sana.
Cc. Hios tecno[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Ila simu zao ni ghali sana!Oppo ni simu bora kuzidi hata hio iPhone katika segment. Ku Copy kila mtu ana Copy hapo china sababu kuna simu nyingi ila form factor inafanana kinachotofautisha ni hardware za ndani tu ila muonekano ni ule ule.
Tecno imeingiaje hapo ?Hio simu iko bomba sana, tecno itasubiri sana!
Oppo ni simu pambe sana, hapo Tecno watasubiri sana yani. Oppo iko smooth kama nyoya la njiwa,😎
Eeh sababu wanatumia High-End Hardwares, 16GB ya oppo ni sawa na 32GB ikiwa kwenye Tecno.Ila simu zao ni ghali sana!