Baba wa Mapaka JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 1,828 Reaction score 1,662 Apr 19, 2023 #1 Wataalamu habari za muda huu? Je kuna VPN ambayo naweza ku connect kwenye puplic.wifi kisha nikaunga outlook mail app nikapokea emails kama kawaida. ahsante
Wataalamu habari za muda huu? Je kuna VPN ambayo naweza ku connect kwenye puplic.wifi kisha nikaunga outlook mail app nikapokea emails kama kawaida. ahsante
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,226 Reaction score 44,222 Apr 19, 2023 #2 Kwani public wifi hupokei email? Pia vpn yoyote itapokea email unless upo kwenye organisation na wana sheria zao
Kwani public wifi hupokei email? Pia vpn yoyote itapokea email unless upo kwenye organisation na wana sheria zao