lucas ngoto
Member
- Sep 13, 2013
- 69
- 3
oporesheni ya kulinda wanyamapoli imevikumba baadhi ya vijiji vya wilaya ya Tarime na kuwahusisha baadhi ya viongozi wa serikali na wawakilishi wa wananchi.uporesheni hiyo inavihusisha vyombo mbalimbali kama vile jwt usalama n.k na ktk masako huo kumekuwa na matukio mbalimbali ambayo yanaashilia ile kauli ya wazili mkuu pinda inatekelezwa ya wapigwe tu.baadhi mambo ni baadhi ya nyumba kuchomwa na vitu kuugulia ndani,watu kupigwa sana na kwa sasa nipo bunda ddh nimekuja kumwona mhe diwani ambaye pia amekamatwa ktk msako huo na yy anamini nimambo kisiasa wapo ddh watu kama4 ambao wamepokea kipigo cha kutosha wanahudumia huku wakiwa chini ya ulinzi wa jwt na tanapa na kumjibu wa majeruhi hao mwezao mmoja amekufa na maiti yake ipo ya ddh seregeti na nimeogeoa na diwani wa kata ya kemambo yupo seregeti kuchukua mwili wa marehemu hiyu make ni wa kata yake.wakati nikiwa hapa ddh tukiahudumia hawa wagonjwa watu wamekuwa wakisema kama hawa wamepigwa na jwt ni mungu tu amewasaidia make jeshi huw limeandaliwa kwa ajili ya vita sio opresheni kuua jeshi sio la kushagaza,wakati huo mahakama ya (w)Bunda ili ilipokea watu wasiopugua 50 wakiwa na tuhuma mbalimbali ya wanyamapoli na kuwa na silaha.Laiti kama serikali igefanya ktk kushugulikia mafisadi nchi hii igekuwa mbali sana