Duh sasa Putin naye atataka kuonesha utemi hapo yanaweza kuwa majanga zaid. Japo najua ww3 haiwez kutokeaPamoja na NATO na jeshi la Iraq kutumia nguvu nyingi kukomboa mji wa Monsul mbona bado huko mikononi mwa ISIS, sasa kwa nini wanakimbilia huko Raqqa, je, NATO wanafikiri huko watafanya miujiza gani?
Kumbuka mji wa Raqqa huko Syria, ninacho kiona mimi hizo ni mbinu za Merikani za kutaka kutumia mji huo kama spring board za kuwezesha waasi wanao mpinga Asaad washambulie majeshi ya Syria, kumbuka hazma ya Merikani ya kutaka kumuondoa madarakani Asaad bado hipo pale pale haya mambo ya kusema sijui wanataka kutokomeza kikundi cha ISIS hizo ni geresha tu.
Leo nimeona wanajeshi wa Merikani na magari yao ya kijeshi yanakaribia mji wa Raqqa wamevaa
Nguo za wanajeshi wa Kikurd, kumbuka vile vile wanataka kuvamia nchi huru bila ya idhini ya UN au kukaribishwa na Serikali ya Syria - sasa nini kinaweza kutokea, Urusi inaweza kuchukua a low profile sio kwamba hawajui lengo la Merikani si wamesema wanataka kuangamiza kikundi cha ISIS? Sasa Merikani ikivuka a red line ikashambulia wanajeshi wa Syria au one of the bases za Warusi nchini Syria basi hapo Wamerikani na Warusi wakabiriana moja kwa moja na inaweza kuwa vita mbaya sana - I hope Wamerikani hilo wamelitafakari kiundani - Warusi awawezi kuruhusu Wamerikani watumie nchi ya Syria kufundisha waasi kutoka Ulaya mashariki kwa lengo la kufanya ugaidi alafu wawapenyeze nchi Urusi kufabya ugaidi na uaasi - Warusi watatumia nguvu zao zote kulinda Taifa lao, awatapigana kwa ajili ya maslahi watapigana kwa ajili ya usalama wa Taifa lao safari hii wanaonekana wako determined kweli kweli.
Kinacho shangaza kidogo, Wakurd wa Iraq, Syria na Uturuki wanasaidiwa na Wamerikani wakiwemo waasi wa Syria Uturuki iataki Wakurd wasaidiwe na nchi yoyote Uturuki ina wasi wasi kwamba Wakurd wakiungana watataka waunde nchi yao na Merikani tangu miaja mingi ilikuwa na mpango wa kuhunda nchi nyingine mashariki ya kati kwa kumega sehemu za Iraq, Syria na Uturuki na ukiangalia kwenye ramani utakuta sehemu za aridhi kwenye plan za Wamerijani zina utajili wa mafuta na gesi ndiyo maana wanataka ku-annex sehemu hizo na kuwapa Wakurd amboa watakuwa watiifu kwa USA - hii si adithi ni kweli tupu - sasa swali ni: hivi Uturuki, Iran ambayo nayo ina Wakurd, Syria na Urusi wanaweza kukubali upuuzi huu? Je, Merikani hiko radhi kuanzisha WW3 kwa ajili ya Syria na Wakurd?
Hali inavyo elekea sio nzuri hata kidogo nashariki ya kati hasa Syria - ikitokea miscalculation Dunia na viumbe vyote vitangamia/tutangamia.
Duh sasa Putin naye atataka kuonesha utemi hapo yanaweza kuwa majanga zaid. Japo najua ww3 haiwez kutokea
S-300 na S-400 funga kazi, wasubiri ujio wa S-500.S-300 tu haina mpinzani sijui hizo zingine vipi.hapo zamani za kale ufaransa na urusi waliingia makubaliano ya kutengeneza air craft carrier mbili, baadaye lilipotokea suala la ukraine ufaransa akakatazwa na kaka yake marekani asimpe hizo kitu mrusi japo moja ilikuwa imekamilika, wakavuntana weeeee...ufaransa akaamua kumuuzia hizo vitu misri..misri alivyozinunua tu akaenda kuzihifadhi kwake....baadaye imefahamika kuwa zile vitu ziko mikononi mwa warusi na ni mali yao wamezinunua toka misri.....walimwengu wana akili sana, juzi kati mrusi kajifanya anaenda kufanya mazoezi na misri kumbe ndo wanakabidhiana kijanja...hili limefichuliwa na wazili wa poland, ikumbukwe poland na ufaransa nao kuna dili la kuuziana helkopta walikubaliana, mfaransa akawa anajua kabisa atapiga hela, ghafla jamaa wamewatosa na wanasema wanaenda kununua za amerika...ufaransa wanalalamika ila baadaye wakaambiwa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...maana yeye aliwafanyia warusi hivyo na yeye kafanyiwa na wapoland hivyo....
hapo zamani za kale ufaransa na urusi waliingia makubaliano ya kutengeneza air craft carrier mbili, baadaye lilipotokea suaula la ukraine ufaransa akakatazwa na kaka yake marekani asimpe hizo kitu mrusi japo moja ilikuwa imekamilika, wakavuntana weeeee...ufaransa akaamua kumuuzia hizo vitu misri..misri alivyozinunua tu akaenda kuzihifadhi kwake....baadaye imefahamika kuwa zile vitu ziko mikononi mwa warusi na ni mali yao wamezinunua toka misri.....walimwengu wana akili sana, juzi kati mrusi kajifanya anaenda kufanya mazoezi na misri kumbe ndo wanakabidhiana kijanja...hili limefichuliwa na wazili wa poland, ikumbukwe poland na ufaransa nao kuna dili la kuuziana helkopta walikubaliana, mfaransa akawa anajua kabisa atapiga hela, ghafla jamaa wamewatosa na wanasema wanaenda kununua za amerika...ufaransa wanalalamika ila baadaye wakaambiwa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...maana yeye aliwafanyia warusi hivyo na yeye kafanyiwa na wapoland hivyo....
Mkuu na kupata sana mkuuMkuu mimi nina marafiki zangu nchi mbali mbali zikiwemo Ulaya na Merikani wengine tulikuwa wote vyuoni na wengine kwenye makonganano.
Sasa mkuu ni hivi: Ni watu wachache wanaojua kwa nini aircraft carrier ya Kirusi na meli nyingine zikiwemo submarine zinakwenda kutia nanga huko nchi Syria, ukiangalia kijuu juu unaweza kufikiri aircraft carrier ya Urusi ni ya kawaida kama zilivyo za Merikani, Ufaransa na Uingereza ukweli wa mambo meli hiyo ni tofauti yenyewe ni battle ship hasa hasa na siyo kubeba ndege za vita tu na kubaki kama a floating coffin, yenyewe imesheheni silaha za kushambulia na kujilinda zisizo za kawaida hata kidogo, weledi (nafikiri unajua ninacho maanisha) wanasema Warusi walipata fununu za kintelijensia kuhusu Wamekani kutaka kutumia mji wa Raqqa kujaribu kuifanyia hujuma Serikali ya Asaad wakishirikiana na Waasi ikiwemo kujaribu kushambulia baadhi ya bases za jeshi la Syria na Urusi, sasa jibu la kukomesha upuuzi huo ndio limekwisha patikana sasa jamaa wajaribu kushambulia walimu wa kijeshi wa Urusi waliyopo Syria, bases zao au majeshi ya Syria uone kitakacho tokea.
Hivi sasa Merikani si imeanza kuzuga Dunia kwa kujifanya inataka kushambulia mji wa Raqqa ili itokomeze kikundi cha ISIS, kikundi ambacho walishidwa kukitokomeza huu ni mwaka wa nne wanakipiga mabom ya uongo na kweli matokeo yake badala ya kikundi kusambaratishwa kinashamiri kila kukicha - agenda za siri za Serikali/Mageneral wa jeshi la Merikani na Washirika wao zitadhiilika mjini Raqqa Syria - yetu macho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hapo zamani za kale ufaransa na urusi waliingia makubaliano ya kutengeneza air craft carrier mbili, baadaye lilipotokea suala la ukraine ufaransa akakatazwa na kaka yake marekani asimpe hizo kitu mrusi japo moja ilikuwa imekamilika, wakavuntana weeeee...ufaransa akaamua kumuuzia hizo vitu misri..misri alivyozinunua tu akaenda kuzihifadhi kwake....baadaye imefahamika kuwa zile vitu ziko mikononi mwa warusi na ni mali yao wamezinunua toka misri.....walimwengu wana akili sana, juzi kati mrusi kajifanya anaenda kufanya mazoezi na misri kumbe ndo wanakabidhiana kijanja...hili limefichuliwa na wazili wa poland, ikumbukwe poland na ufaransa nao kuna dili la kuuziana helkopta walikubaliana, mfaransa akawa anajua kabisa atapiga hela, ghafla jamaa wamewatosa na wanasema wanaenda kununua za amerika...ufaransa wanalalamika ila baadaye wakaambiwa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...maana yeye aliwafanyia warusi hivyo na yeye kafanyiwa na wapoland hivyo....
hapo zamani za kale ufaransa na urusi waliingia makubaliano ya kutengeneza air craft carrier mbili, baadaye lilipotokea suala la ukraine ufaransa akakatazwa na kaka yake marekani asimpe hizo kitu mrusi japo moja ilikuwa imekamilika, wakavuntana weeeee...ufaransa akaamua kumuuzia hizo vitu misri..misri alivyozinunua tu akaenda kuzihifadhi kwake....baadaye imefahamika kuwa zile vitu ziko mikononi mwa warusi na ni mali yao wamezinunua toka misri.....walimwengu wana akili sana, juzi kati mrusi kajifanya anaenda kufanya mazoezi na misri kumbe ndo wanakabidhiana kijanja...hili limefichuliwa na wazili wa poland, ikumbukwe poland na ufaransa nao kuna dili la kuuziana helkopta walikubaliana, mfaransa akawa anajua kabisa atapiga hela, ghafla jamaa wamewatosa na wanasema wanaenda kununua za amerika...ufaransa wanalalamika ila baadaye wakaambiwa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...maana yeye aliwafanyia warusi hivyo na yeye kafanyiwa na wapoland hivyo....
Acha uongo..Mkuu, Wafaransa walipo sema wanawauzia wa Misri Mistral Helicopter Carrier nilijua kinacho endelea - kwanza Misri haitaji meli kama hiyo, kilicho nichekeza zaidi ni pale Wamisri walipo sema wanataka Warusi wa install kwenye meli radio na navigation instruments kutoka Urusi, baadae wakasema watanunua Helicopter type Kamov kutoja Urusi vile vile - kumbuka Wafaransa walipo anza mizengwe yao ya kutotaka kuruhusu Meli kupelekwa Urusi licha ya kulipiwa kila kitu, majasusi wa Urusi walikwenda Bandarini Ufaransa wakaondoa Radio na Navigation Instruments zote na kuondoka nazo, aijulikani kama walishirikiana na baadhi ya mafundi wa huko huko Ufaransa baada ya kuchoshwa na Shinikizo la Merikani.
Binafsi sioni ajabu kama Misri ilipewa fedha na Urusi kununua meli hizo kutoka Ufaransa, baada ya muda utasikia zimekwisha pelekwa Urusi!! Hata bei ambayo msemaji wa Polandi anadai Wamisri waliwauzia Warusi inashangaza kidogo - Meli gani ya kivita unaweza kuinunua kwa $ Million moja - wanafanya usanii tu wa kuzuga Wamerikani!!!
Thanks kwa info mkuu. Sasa hivi mrusi hataki mchezo kabisa.Mkuu mimi nina marafiki zangu nchi mbali mbali zikiwemo Ulaya na Merikani wengine tulikuwa wote vyuoni na wengine kwenye makonganano.
Sasa mkuu ni hivi: Ni watu wachache wanaojua kwa nini aircraft carrier ya Kirusi na meli nyingine zikiwemo submarine zinakwenda kutia nanga huko nchi Syria, ukiangalia kijuu juu unaweza kufikiri aircraft carrier ya Urusi ni ya kawaida kama zilivyo za Merikani, Ufaransa na Uingereza ukweli wa mambo meli hiyo ni tofauti yenyewe ni battle ship hasa hasa na siyo kubeba ndege za vita tu na kubaki kama a floating coffin, yenyewe imesheheni silaha za kushambulia na kujilinda zisizo za kawaida hata kidogo, weledi (nafikiri unajua ninacho maanisha) wanasema Warusi walipata fununu za kintelijensia kuhusu Wamekani kutaka kutumia mji wa Raqqa kujaribu kuifanyia hujuma Serikali ya Asaad wakishirikiana na Waasi ikiwemo kujaribu kushambulia baadhi ya bases za jeshi la Syria na Urusi, sasa jibu la kukomesha upuuzi huo ndio limekwisha patikana sasa jamaa wajaribu kushambulia walimu wa kijeshi wa Urusi waliyopo Syria, bases zao au majeshi ya Syria uone kitakacho tokea.
Hivi sasa Merikani si imeanza kuzuga Dunia kwa kujifanya inataka kushambulia mji wa Raqqa ili itokomeze kikundi cha ISIS, kikundi ambacho walishidwa kukitokomeza huu ni mwaka wa nne wanakipiga mabom ya uongo na kweli matokeo yake badala ya kikundi kusambaratishwa kinashamiri kila kukicha - agenda za siri za Serikali/Mageneral wa jeshi la Merikani na Washirika wao zitadhiilika mjini Raqqa Syria - yetu macho.