Operesheni ya korosho, Benki ya Maendeleo ya Kilimo- TADB yatoa takwimu kufikia Novemba 21, 2018

JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,424
OPERESHENI KOROSHO: TAKWIMU SAHIHI NOVEMBA 21, 2018
Idadi ya Vyama Vilivyofanyiwa Uhakiki|Vyama vya Msingi 83 vimefanyiwa uhakiki​
Kiasi cha pesa kilicholipwa| TZS 4,589,209,266​
Idadi ya Wakulima waliolipwa|wakulima 4,871​
Idadi ya Korosho Zilizokusanywa|Tani 130,111​

Capture.PNG
 
Kama tani 130 zimekula 4b, tani 100 zilizobaki, zitagharimu Sh ngapi?

Tumia akili zako na za kuambiwa.
Kama hujui mahesabu usione aibu kuuliza, unajua tani 100 zinabebwa na semi trailer moja tu au labda hujui maana ya Tani.

Kwa kukusaidia tu kuna takribani ya tani 210,000 za korosho zilizopo Mtwara na Lindi zinategemewa kununuliwa, hizo 130,000 ni zilizokusanywa kwenye maghala tu kuna zingine bado ziko kwa wakulima.
 
Yaani kwa maana kwamba tani moja ni sawa na kilo 1000.
Sasa tani 130×1000=130 000kg tu kati ya tani 200 000 ×1000kg =200 000 000kg×3300=?
mkuu km hizo bil 4.589 ndio zimenunua tani zote 130111 basi kila tani imenunuliwa kwa sh 37.5 tu (shilingi thelathini na saba na senti hamsini tu)
 
Ambazo ni sawa na kilo 210 000 000
Kama hujui mahesabu usione aibu kuuliza, unajua tani 100 zinabebwa na semi trailer moja tu au labda hujui maana ya Tani.

Kwa kukusaidia tu kuna takribani ya tani 210,000 za korosho zilizopo Mtwara na Lindi zinategemewa kununuliwa.
 
Na kiwanda walichokitolea macho cha Buco mitambo yake ishakufa inabidi wanunue mingine na hivyo kufanya new installation sasa macho yamewatoka
Hiyo benki haina hela mtaji wake ni b.50 tu, zinatakiwa b.600 za korosho itazitoa wapi, hiyo waliyotoa haifiki hata b.5 tusidanganyane.
 
Mkuu kwani jumla ya tani zilikuwa ngapi?

Maana navyokumbuka zilikuwa tani zaid ya laki 2 hivi
 
Back
Top Bottom