Mnyonge Namba1
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 402
- 81
Nafikiri aliona aibu iliyopata viongozi wa M4Chaga kule Lindi wakaishia kula kwenye majumba ya watu wakasimangwa.
Riz1 JK anamaliza Twiga na Tembo wetu kwenye hifadhi za TZ
Nafikiri aliona aibu iliyopata viongozi wa M4Chaga kule Lindi wakaishia kula kwenye majumba ya watu wakasimangwa.
mkuu ninawasiwasi na ugreatest thinker wako juu ya tafsiri ya tukio hilo ukiwa unafikiri vizuri yai hilo lina maana kubwa kuliko unavyofikiri pili inaonyesha jinsi gani sasa watanzania wanavyojitoa kwa nchi yao kupitia chadema na hata kutoa kidogo kilichondani ya uwezo wao kuikomboa nchi nafikiri wewe ndio rubish kwa kutotambua uzalendo wa kweliAtalila nani hilo yai?Slaa au mbowe? Topic zingine ni rubbish kweli