peleka taarifa polisi
HAWA JAMAA MAREKANI WANAWAOGOPA SANA kwasababu walishawaliza sana kwenye mitandao na kuwaibia mapesa sana kwenye mabank. sasa wamejaa mitaani sasaivi, uliza bodaboda yeyote akupeleke kwa mnigeria wanafahamika. wamepanga majumbani, hawafanyi kazi yeyote, wakifika wanajishikiza kwa kuoa dada zetu wakisubiri kupiga dili, wanaiba pesa ATM, ni matapeli balaa
MAENEO YA MIKOCHENI HUKU TUNAKOKAA WAMEJAA, hata kama nyumba nyingi ni geti kali lakini unawagundua tu, wanaweza kupanga nyumba nzima halafu wanaishi kama watano hivi hata kumi.
kimara nao nilimtembelea dadangu, nimewakuta wamepanga nyumba kimara. waendesha pikipiki ukiwauliza nyumba ya mnigeria iko wapi wanakupeleka, polisi mko wapi?
ajabu yake sasa, wengi wanakaa tu ndani. swali nililojiuliza ni je, isijekuwa kwenye hayo majumba wanayopanga wanafanya dili za UNGA,
au pengine wanafanya dili za kitapeli kutumia mitandao ya simu na computer (cyber crimes).
je? wanazo permit kuishi bongo? kwa kazi gani? na ajabu yake kwa bahati mbaya yao kiswahili hawajakijua vizuri hivyo ni rahisi kuwatambua.
SERIKALI INAFANYA NINI? MBONA HAWA JAMAA NI WAUZA UNGA?
MBONA HAWA JAMAA NDIO WANAO HACK MITANDAO YA SIMU NA KUIBIA WATU MPESA, TIGOPESA ETC?
MBONA HAWA NDIO WEZI WA ATM HADI MAREKANI WANAWAFAHAMU?
immigration, where are you?
Mkuu huyo wa kanisa la Lion alikwa na kanisa princeshall wakashikwa kwa skendal ya kuuza madini fake na ndipo akapewa notice ya kuhama maana alikua anachafua reputation ya eneo. Lakini pia serikali ya mtaa pamoja na ofisa maendeleo walishampatia barua ya kuondoka maana hana kibali cha kuendesha kanisa hivyo hilo kanisa ni batili.
Tunaomba serikali za mitaa zilizochaguliwa kulishughulikia hilo hasa hilo la hapo sinza mimi nipo tayari kutoa ushirikiano kwa wahusika wote.
mbona umechukia sana dada, au ndio wameshakuoa. manake wakifika hapa cha kwanza wanatafuta mdada wa kibongo wa kusuuzia rungu.
sasa dadangu, haujui kuwa humu JF polisi pia wapo, usalama wa taifa wapo, polisi jamii wapo? kutoa taarifa humu ni bora mara mia kuliko kwenda polisi ambako wanaweza kukusumbua tu. au wewe mgeni na tz nini binti? au wewe una dili nao, manake wakiwa hapa bongo wanakuwa na mwenyeji wao wa kuwafanyia dili za unga kila mwezi wanasafiri kwenda nijeria na kurudi. kama ndio wamekuoa jua umeolewa na muuza unga au mwizi wa mtandao.wewe kweli kilaza,nimechukia nini? nimekwambia katoe taarifa polisi sio kuja kulalamika haitosaidia kitu,ukitoa taarifa polis au kwenye ofis za kampuni ya simu utaokoa wengi si kila mtu anaingia umu,acha udwanzi
sasa dadangu, haujui kuwa humu JF polisi pia wapo, usalama wa taifa wapo, polisi jamii wapo? kutoa taarifa humu ni bora mara mia kuliko kwenda polisi ambako wanaweza kukusumbua tu. au wewe mgeni na tz nini binti? au wewe una dili nao, manake wakiwa hapa bongo wanakuwa na mwenyeji wao wa kuwafanyia dili za unga kila mwezi wanasafiri kwenda nijeria na kurudi. kama ndio wamekuoa jua umeolewa na muuza unga au mwizi wa mtandao.
HAWA JAMAA MAREKANI WANAWAOGOPA SANA kwasababu walishawaliza sana kwenye mitandao na kuwaibia mapesa sana kwenye mabank. sasa wamejaa mitaani sasaivi, uliza bodaboda yeyote akupeleke kwa mnigeria wanafahamika. wamepanga majumbani, hawafanyi kazi yeyote, wakifika wanajishikiza kwa kuoa dada zetu wakisubiri kupiga dili, wanaiba pesa ATM, ni matapeli balaa
MAENEO YA MIKOCHENI HUKU TUNAKOKAA WAMEJAA, hata kama nyumba nyingi ni geti kali lakini unawagundua tu, wanaweza kupanga nyumba nzima halafu wanaishi kama watano hivi hata kumi.
kimara nao nilimtembelea dadangu, nimewakuta wamepanga nyumba kimara. waendesha pikipiki ukiwauliza nyumba ya mnigeria iko wapi wanakupeleka, polisi mko wapi?
ajabu yake sasa, wengi wanakaa tu ndani. swali nililojiuliza ni je, isijekuwa kwenye hayo majumba wanayopanga wanafanya dili za UNGA,
au pengine wanafanya dili za kitapeli kutumia mitandao ya simu na computer (cyber crimes).
je? wanazo permit kuishi bongo? kwa kazi gani? na ajabu yake kwa bahati mbaya yao kiswahili hawajakijua vizuri hivyo ni rahisi kuwatambua.
SERIKALI INAFANYA NINI? MBONA HAWA JAMAA NI WAUZA UNGA?
MBONA HAWA JAMAA NDIO WANAO HACK MITANDAO YA SIMU NA KUIBIA WATU MPESA, TIGOPESA ETC?
MBONA HAWA NDIO WEZI WA ATM HADI MAREKANI WANAWAFAHAMU?
immigration, where are you?
huku kwetu mitaa ya sinza lion wamechukua baa mojawapo iliyofungwa wamageuza kanisa yaani ni makelele balaa siku ya jumapili.ukiwaona wamekaa kitapelitapeli sijui hata hao waumini wanawapataje
wewe kweli kilaza,nimechukia nini? nimekwambia katoe taarifa polisi sio kuja kulalamika haitosaidia kitu,ukitoa taarifa polis au kwenye ofis za kampuni ya simu utaokoa wengi si kila mtu anaingia umu,acha udwanzi