Operesheni Kimbunga yazoa mawaziri

Ndugu zangu Wafugaji na wakulima mara zote mmetumika sana kuibeba ccm matokeo yake ndiyo haya , MMEVUNA MLICHOPANDA ! Tunakuja rasmi 2015 kuwakomboa , msifanye makosa tena !
 

Kwahiyo yeye anapoongelea mambo binafsi ya watu huwa unaona fair!?eg;Dr,Slaa &Mh,Lema.Muosha huoshwa.
 
Kujilipua kwa Chris Lukosi kunakugusa vipi negatively katika maisha yako. Kama ni siasa, pambana naye kwa hoja na siyo kumuua kimaisha. Hivi unafahamu ni Watanzania wangapi wametumia fake documents zilizokuwa zinapatikana mitaa ya Mkwepu, Makunganya, posta club n.k kusafiria ili kutafuta maisha yao au kwenda kupata elimu ya juu nje ya nchi.
Huu ni wivu zaidi ya mchawi!.

Umenigusa kwa comment yako kwa sababu hata mimi na baadhi ya jamaa zangu tulipata Bank statement fake kwenye mitaa ya Mkwepu miaka ya 1990's ambazo zilikuwa ni fake lakini zilitusaidia kupata registration kwenye University za nchi za Magharibi tukapiga kitabu na sasa tuko tambarale.

Ninaamini mambo ya Chris kwa sasa yako vizuri kwa maana kwamba anachangia mapato katika nchi ya queen kutokana na biashara zake na pia ana familia kitu ambacho ni ngao kubwa inayomkinga mbele ya sheria za mwingereza inapokuja kwenye maamuzi ya mahakama.

Kuna Watanzania kwa makumi na mamia ninawafahamu ambao history zao kufika abroad kutafuta maisha ukisimuliwa zinaweza kuufanya utumbo kucheza lakini kwa sasa wako vizuri tu kimaisha.

Kama siasa za Tanzania zimefikia kiwango hiki cha selfishness, anger and hatred basi hazina hata faida kwa Mtanzania.
 


hapo kutakuwa kunaukweli kabisa,,,,,maana kila anacho comment ni pumba pumba pumba tuuuuuuuuu
 
lukoso akili zako zomehadhiliwa na kubeba maboksi huko UK watu wana jadili hoja ya maana wewe unaleta mzaa,ndio mi CCM mingi mlivyo,wewe mpaka shibuda naye kacharuka na kusema kuwa Pinda akae pembeni?tuwe makini kwenye hoja zinazokusa maisha ya ndugu zetu wa vijijini
 
Naona 2015 inasogea kwa kasi ya ajabu, hatudanganyiki na kubweka kwenu kwa muda mfupi.

endeleeni kushabikia serikali yenu ya ccm sikivu.!

Mkuu licha kwamba uendeshaji wa operation hiyo ulikuwa wa kipumbavu na wakijima sana ambao haukuzingatia weledi bali miguvu na mitulinga wabunge wengi wa CCM hawajapenda kusimamishwa kwa operation hii kwasababu ya huruma yao kwa wananchi hapana...wametishika walipoona majangili wengi wanao kamatwa ni wapambe wao. Nidhahiri kwamba hao wanao kamatwa wangekuwa wafuasi wa vyama vya upinzani hasa CHADEMA au CUF ...wangetambua kwanini maharage siyo mboga bali kitafunwa cha kunywea chai.

Hebu jiulize busara hii inatoka wapi kama ni hali mbaya watuambie kinachoendelea MTWARA...nako waunde kamati teule kwani nako watu wamepigwa sana ,wameuawa sana tu na hakuna kinachofanyika.
 

mkuu Tuko I couldnt agree more with this hypothesis. Haiingii akilini, pamoja na madhara yote ya ujangili, historia yake nk, leo hii gafla wabunge wanatwist maneno kwamba imewaaathiri wafugaji, na hakuna jangili aliyekamatwa! this is ridiculous....hadi kuunda kamati teule??
 
Last edited by a moderator:

Ndugu yangu unashangaa kuuwa ng`ombe wakati ukitwanga Risasi au mabomu raia unapandishwa cheo...Nadhani wanatekeleza amri halali za Mkuu wa serikali kuhusu wakaidi kwani yawezekana huyo ni mfugaji kaidi aliye kaidi kuuza mifugo yake au kuwapa kitu kidogo wahusika na hawakuwa na njia nyingine zaidi ya kupiga ....ndiyo tuatapigwa sana tu.
 
Nami nasema wazolewe tu, hakuna namna, maana sasa tumechoka!
 
Ndio matatizo ya Serikali hii kukurupuka na kufanya maamuzi ambayo yanakuwa na negative impact kwa raia na mali zao. Sijui kama hao walioathirika hata kama watalipwa fidia.

 
Serikali dhaifu bunge legelege, caucus ya CCM wapumbavu ndio maana nchi inafirisiwa mbele ya macho yao wamebaki ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Mkuu kaizer , hii ndo tz ukigusa masilahi ya wakubwa ujue hufiki mbali. Si uliona amri ya magufuli kuhusu malori walivyomfanya.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapa umenena kinachokera huyu jamaa mara nyingi amekuwa mharibifu wa mtiriko wa mada Jf hebu angalia hiyo comment yake ktk uzi huu ,Je utamuelewaje?Acha alipate fresh uyo jamaa acha amtwange na CV lake hilo bovu.Hata mimi ningekuwa naujua huu wasifu wake ningetupiamo.He deserve what he reserve.
 
pinda anatakiwa kupinduliwa tanzania haijawahi kuwa na waziri -------- kama pinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…