Hii ya 'kuongeza wahalifu mtaani' imekuwa wimbo wa kisiasa, na wabongo mkikaririshwa kitu hakitoki kichwani, hata kama hakina msingi. Vibanda vyote viondolewe, magereji bubu yote yatolewe, mitaa inyooke jiji lipate hadhi. Watu wajifunze kufungua biashara katika maeneo rasmi, watambulike na walipe kodi kama watumishi wa umma wanavyolipa kwa lazima. Bila kutumia nguvu wabongo hawana aibu, watakupangia mafungu ya vitunguu hadi airport!Nivzr km wamewaandalia eneo la kufanyia biashara zao,tofauti na hapo watakua wanaongeza idadi ya wahalifu mitaani